The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Multiple effects ya hivi vituo vipya vya afya ni ajira rasmi afya na supportive employment watoa services kama banks, telecoms, transport, hotels, and trade. Ilifika kipindi graduate wa medicine wanamaliza degree na walikuwa wanakosa ajira. Ilifika kipindi waalimu walikosa ajira. Na swali kuu wataajiriwa wapi wakati shule majengo hayaongezwi, shule na vituo vipya vya afya haviongezwi???Mwaka ujao watajenga vituo vya afya 304, hospital 28 ,,mwaka uliomalizika vituo vya afya 234,,Kwa Takwimu hizi kweli kuna Rais atamfikia Samia kweli ? Tuseme ukweli[emoji116]
View attachment 2182416
View attachment 2182417
Ni kweli mkuu ila mimi nampenda mama Kwa sababu anajua kutafuta pesa na ni muwazo hata kama hutaki ila ndio hivyo anakuchana live..Multiple effects ya hivi vituo vipya vya afya ni ajira rasmi afya na supportive employment watoa services kama banks, telecoms, transport, hotels, and trade. Ilifika kipindi graduate wa medicine wanamaliza degree na walikuwa wanakosa ajira. Ilifika kipindi waalimu walikosa ajira. Na swali kuu wataajiriwa wapi wakati shule majengo hayaongezwi, shule na vituo vipya vya afya haviongezwi???
Hatuwezi kupata Raisi mkamilifu 100%, kwa anachokifanya anahitaji support ya kila Mtanzania kwa 100%. Hata Nyerere alikuwa na mapungufu japo tunahubiriwa mazuri yake tu.
Sijawahi support CCM, nasina mpango huo. Ila anachokifanya Raisi Samia kwangu ni kikubwa sana.Ni kweli mkuu ila mimi nampenda mama Kwa sababu anajua kutafuta pesa na ni muwazo hata kama hutaki ila ndio hivyo anakuchana live..
Kingine ni results driven oriented na anapenda kutumia watu wanaomzunguka waonyeshe vipawa vyao.
Ndio kusema tungekuwa na Katiba nzuri zaidi,Samia ange fit Sana,ukiangalia mafanikio ya SSH kwa mwaka mmja aisee ni makubwa tofauti na ilivyotarajiwa..
Hakuna asiye na mapungufu,juzi amesema wameagiza ambulance zaidi ya 250 hizo zote ni ajira za madereva achilia mbali Hawa TRA zaidi ya 1400 waliopata shavu saizi [emoji116]
View attachment 2182452
Hata mimi sijawahi piga kura kwa ccm ila this time around ntapiga kura ya Rais tuu maana wapinzani wenyewe nimehangaika nao miaka mingi wanakuja kufika bei.Sijawahi support CCM, nasina mpango huo. Ila anachokifanya Raisi Samia kwangu ni kikubwa sana.
Shonza huyu nimemuacha Chuo, kumbe wewe mdogo wangu tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hata mimi sijawahi piga kura kwa ccm ila this time around ntapiga kura ya Rais tuu maana wapinzani wenyewe nimehangaika nao miaka mingi wanakuja kufika bei.
Watu kama kina Shonza Tulikuwa nao chuo kumbe ni ndumila kuwili,Silinde na Mwampamba tumekomaa nao kule Mbozi na Tunduma kumbe wachumia tumbo..
Mwita waitara alikuwa mwenyekiti wa mtaa njaa kali kule Kivule tukahangaika kumbe ni wasenge..
Nimeachana kabisa na siasa na mimi naangalia mtu anaenifaa kwenye kisera kwenye shughuli zangu.
Mdogo wipi ,sie wengine tulichelewa kuanzishwa shule..Shonza huyu nimemuacha Chuo, kumbe wewe mdogo wangu tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Anawezaje kuwa bora wakati mambo karibia yote anayoyafanya anayafanya kwa maelekezo kutoka kwa Kikwete. Huku akijaribu kuwa please Sukuma gang ili wasimchukie.Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Ally Hapi, Jokate Mwogelo, Hashimu Mgangilwa, intake yangu, hao akina Nikki Kisarawe, David Silinde, Owawa, Mtatiro wamenipokea Chuo.Mdogo wipi ,sie wengine tulichelewa kuanzishwa shule..
Labda tunaweza kuwa tunalingana.Mimi naanza nilimkuta hadi Ally Hapi RC wa Mara yuko Mwaka wa mwisho Mlimani.
Mwinyi oyeeeeTunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Tuwekee ushaidi Boss, hatutaki mambo ya kuzoa zoa hapa JFAnawezaje kuwa bora wakati mambo karibia yote anayoyafanya anayafanya kwa maelekezo kutoka kwa Kikwete. Huku akijaribu kuwa please Sukuma gang ili wasimchukie.
Nyie ndio mlituingiza Chaka yaani haipiti mwezi lazima Revo square 😆😆Ally Hapi, Jokate Mwogelo, Hashimu Mgangilwa, intake yangu, hao akina Nikki Kisarawe, David Silinde, Owawa, Mtatiro wamenipokea Chuo.
Kama ulishiriki ile kunji ya akina Doing Oduar na ilikuwa mstari wa mbele basi tulikuwa wote [emoji38][emoji38][emoji38]
Naona unajitekenya mzee😂Haya ma crisis ya Dunia yatafanya urais wa Samia kuonekana mbaya, ila ni bonge la president...
Uwekezaji, ajira na maisha bora yalianza kurudi Tz kabla ya vitu kuanza kupanda bei, na mwisho wake haujulikani itakuwa lini
Watu karibia wote waliowahi kuteuliwa wakati wa Kikwete ambao Magufuli aliwatumbua, Samia amekuwa akiwarudisha mmoja baada ya mwingine. Kushika nafasi zilezile ambazo Magufuli aliona hawatoshi.Tuwekee ushaidi Boss, hatutaki mambo ya kuzoa zoa hapa JF
Kuondoa ile bawasiri iliokuwa inakutesa cheti fekiHizo dira zimetusaidia nini
Shujaa hakuacha legasi yoyote-ilikuwa vurumai tuTunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Hilo nalo linahitaji ushahidi kweli?Tuwekee ushaidi Boss, hatutaki mambo ya kuzoa zoa hapa JF
Anafakamia pilipili wakati ana bawasiri huyo achana nae muda choo kikimbana atafurahia show! Hawa ndio wale anti-Magufulist wasio na hojaWatu karibia wote waliowahi kuteuliwa wakati wa Kikwete ambao Magufuli aliwatumbua, Samia amekuwa akiwarudisha mmoja baada ya mwingine. Kushika nafasi zilezile ambazo Magufuli aliona hawatoshi.
Need I say more ?
Labda huko kwenu ndio mlikuwa kama Digidigi, ila huku kwetu watu hawajawahi kuogopa ku comment chochote.Sisi watanzania sijui tupewe nini tu? miezi 13 iliyopita hata ku comments post ya mtu ilikuwa lazima uangalie kushoto au kulia ndio ucomment.