Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Umeseeema!? Nani ana Gundu?hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na Gundu au vipi?
Tunaharibu mazingira kwa kukata miti na kuchoma misitu hovyo,lawama zako unazipeleka kusiko Raisi ndio analeta mvua?your reasoning is wantingTangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.
Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na Gundu au vipi?
Kuhusu Ajali nikiangalia enzi za jiwe nathibitisha kabisa Samia amearidhika na watu kufa barabarani.Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.
Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Kwahiyo awamu hii ndo misitu imeharibiwa? Na mfululizo wa ajali je? Vipi kuhusu mfumuko?Tunaharibu mazingira kwa kukata miti na kuchoma misitu hovyo,lawama zako unazipeleka kusiko Raisi ndio analeta mvua?your reasoning is wanting
Ongezea na mauaji ya albino enzi za JK. Ila nikuambie sio hali za kawaida. Ni Mungu anafanya yake kwa nchi inatskiwa toba.Ni hali ya hewa tu kama ilivyotokea elnino 1998 enzi za mkapa au ilivyotokea vita 1978_1979 enzi za Nyerere
Au ilivyotokea Corona 2019 enzi za JPM
Mungu ameiacha Tanzania.Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.
Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Ni mabadiliko ya tabia nchi. Tunza mazingiraTangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.
Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Kwahiyo mabadiliko ndo yameongeza ajali pia na kuleta tozo?Ni mabadiliko ya tabia nchi. Tunza mazingira
Huyo nilisema ana nyota ya mafiii kila kitu kitasambalatikaTangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.
Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Kuna haja ya kuendelea kusubiri?Ngoja tuone...