Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.
Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.
Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?