Rais Samia ana mkosi?

Rais Samia ana mkosi?

Nasema Uongo Ndugu Zangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
279
Reaction score
779
Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.

Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.

Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.

Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
 
Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na Gundu au vipi?
Tunaharibu mazingira kwa kukata miti na kuchoma misitu hovyo,lawama zako unazipeleka kusiko Raisi ndio analeta mvua?your reasoning is wanting
 
Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.

Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.

Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.

Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Kuhusu Ajali nikiangalia enzi za jiwe nathibitisha kabisa Samia amearidhika na watu kufa barabarani.
 
Tunaharibu mazingira kwa kukata miti na kuchoma misitu hovyo,lawama zako unazipeleka kusiko Raisi ndio analeta mvua?your reasoning is wanting
Kwahiyo awamu hii ndo misitu imeharibiwa? Na mfululizo wa ajali je? Vipi kuhusu mfumuko?
 
Mzirankende ame mind sana huko kaburini mnawatenga na kuwanyanyasa wanae, mbaya zaidi mnasema alikufa na Covid kwenye li "roho tuwa" lenu
 
Ni hali ya hewa tu kama ilivyotokea elnino 1998 enzi za mkapa au ilivyotokea vita 1978_1979 enzi za Nyerere
Au ilivyotokea Corona 2019 enzi za JPM
Ongezea na mauaji ya albino enzi za JK. Ila nikuambie sio hali za kawaida. Ni Mungu anafanya yake kwa nchi inatskiwa toba.
 
miti imekatwa sana tangu may mwaka 2021 mpaka nilishangaa yani mwamba akivyotoka tu utasema mbwa alikuwa amefungwa kafunguliwa
 
Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.

Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.

Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.

Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Mungu ameiacha Tanzania.

Tumrudie yeye ataturehemu
 
Samia hana mkosi, Samia ana bahati kwelikweli, kachukua uraisi kama kumsukuma mlevi, kaambiwa tu "Bibie njoo uape..."
 
Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10.

Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda zikawahi kukoma hivyo wametoa wito kwa mamlaka kujiandaa kwa hilo.

Hapo sijazungumzia ajali za barabarani zilizo ongezeka maradufu, tozo za kipuuzi, mfumuko wa bei nk.

Naomba kujua hii hali ni kwasababu ya kiongozi wetu mkuu kuwa na gundu au vipi?
Ni mabadiliko ya tabia nchi. Tunza mazingira
 
Huyo nilisema ana nyota ya mafiii kila kitu kitasambalatika
 
Back
Top Bottom