Rais Samia ana mpango wa kumtua Mama kuni kichwani

Tatizo mmejaa ushabiki wa chama chenu ,hamkatazwi, ila jilalazimishe kidogo , Mambo mengine ni siri kubwa
Maendeleo tena yawe siri c nsio maana tupo hapa kuyajadili maendeleo anayofanya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu
 
Kila kukicha mtandaoni magazetini
Ni RAIS, RAIS ,RAIS hata aibu hakuna!
Kwani Kuna pesa anatoa Kwa mfuko au kwa familia yake?!?
Hebu angalieni matatizo ya wananchi hamuyaoni???? He..l
 
Ana mpango wa kuongeza bei za gesi wateja wakiwa wengi
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amosi Makalla amesema katika kukabiliana na mgao wa maji unaoendelea Dar es salaam, usiku wa leo zitaingizwa lita Milioni 70 za maji kutoka kigamboni katika visima 12 ili kupunguza ukali wa mgao wa maji.
Sasa Rc alisema kama leo watu watapata maji hiyo post iko wapi boss wang
 
Porojo tu hizi. Hamna kitu hapo.
 
Dar ya keyla au eb ntumie ushaidi wa Rc makala aliosema leo dar tunaenda kupata maji
Njoo hapa Mbezi beach tenk-bovu, week 3 hakuna maji, alafu Wewe unaongea upuuzi.Makara kasema kukosekana kwa maji Dar sio ilani ya CCM bali mpango wa Mungu, wakati kwenye ilani yao waliaidi watatoa maji masaa 24 dar mzima.
 
Maendeleo tena yawe siri c nsio maana tupo hapa kuyajadili maendeleo anayofanya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu
Aya bwana, unamfuta lucas, ndugu mama yenu na ccm yenu kitabu kimefungwa, utaki elewa hulazimishwi
 
Nawaulizeni tena SSH na ccm yenu wanayo mamlaka kuliko Mungu Kama ndio sawa, kama sivyo , elewa nasema nini, hutaki ACHA hulazimishwi
Lazima Rais Samia Suluhu ashinde kwa kishindo maana kwa maendeleo anayoleta Tanzania wananchi hatuna wasiwasi
 
Porojo za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…