4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wengi mnataka sikia kile mwafurahishwa nyoyoni mwenu, kubalini pia kutana na maelezo mengine yatawanyima furaha nyoyoni mwenu, na shukuru mnaupata ujumbe mbashara na ni mda sahii kujipanga na mabadiliko yajayo,
List ya kwenye karatasi haitawasaidia ,imeishafutiliwa mbali ,case closed
List ya kwenye karatasi haitawasaidia ,imeishafutiliwa mbali ,case closed