Rais Samia anadanganywa sana. Anapanga safu ya mstaafu bila kujua

Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
 
Na hapa kwenye kumjaribu wataondoka wengi mfano ni baba lao Ndugai
 
Kabudi akae bench aliisaliti katiba kisa cheo alafu akatuharibia mahusiano...

Luku V kando nimuumini wa masera ya hovyo ya maguvanga na anakiburi...

Waitara tupakule ni msaliti alosema watu hovyo alafu hana haiba na akili ya kiuongozi...

Mkumbo naye chali ni msaliti msakatonge hana utendaji wa maana anaoofa...

Mwambe fukuza hana uuongozi tunaouhitaji zama hizi.

Teuzi nimbovu lkn walotenguliwa walikuwa wabovu zaidi
 
Chuki zako zinakutuma kuona kwamba hakuna upinzani Tz!!! Au watz ndo mang'ombe hayajielewi!!? Unamchukia Samia mpaka akili zinakuchomoka!! Na bado tupo nae mpaka 2030 awanyooshe mpaka mvunjike
 
Samia ni mjumbe wa kamati kuu ya Ccm toka 2002 ndg unasemaje hajui anachokifanya[emoji23][emoji1787]mbona mmeshikwa pabaya safari hii
 
Mama mzigo hamna kitu pale,yaani siri zake zote inje kumbe dhaifu
 
Mbona walioachwa wote wakristo ?
 
Hii Maaskofu na wakristo wakomalie

Magufuli alikuwa Mkristo akafuata Samia Mwislamu, so after Samia anayetakiwa kufuata awe Mkristo

Ili muhuni mmoja January Yusufu Makamba abaki kuusikia uraisi
January Makamba basi atabadilisha dini ili kuwa mkristo. Kwani kubadili dini mchakato wake unachukua muda gani?

CCM huijui wewe?
Na January humjui wewe?
Chama cha wahuni na wahuni wamerejea sasa. Wenye chama chao wamerejea!!
 

Tusiongee sana kuhusu hili, watu wanajipanga kimyakimya mwishoni mwaka 2024 tutashuhudia mengi sana.

Kama unafahamu elimu ya Mama yetu huyu naomba uweke hapa boss, maana kuna vitu vinatendeka hadi unajiuliza why this?
Hakufika Chuo Kikuu. Aliunganisha unganisha Certificates mara Diploma mara short courses. Msomi hu reason kisomi. Juzi alipotoa neno hili "Hivi karibuni nitabadilisha baraza la Mawaziri bla bla!"
Msomi hutunza maneno. Nikajiuliza hasira ni hasara.
 
Hakufika Chuo Kikuu. Aliunganisha unganisha Certificates mara Diploma mara short courses. Msomi hu reason kisomi. Juzi alipotoa neno hili "Hivi karibuni nitabadilisha baraza la Mawaziri bla bla!"
Msomi hutunza maneno. Nikajiuliza hasira ni hasara.
Mtakufa miaka 9 bado maanina zenu na tunamuongeza muda
 
Hivi Ridhiwani na Nape ni watu competent kuliko Lukuvi na Kabudi ?,are seriously ?
Ndiyo kabisa, huyo mzee wa Madagascar? Mwingine huyo ni nyodo kuliko. Labda kama unaangalia appearance na kujinadi ktk vyombo vya habari. Jua uwaziri siyo upambe wala one-man show. Bali ni usikivu na ufikiaji wa malengo ya serikali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…