Hongera kwa kususa!Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
Sasa ni wepi hawakufanya ufisadi? Umekaririshwa ukajaa mzima. Acheni waongoze nao ni watanzania. Ukiulizwa utaje Makamba au Nape wamefisidi nini unaweza? Neno ufisadi ni kichaka mlichotumia kuwabagua wenzenu ili tu muendelee kufyonza keki ya Taifa peke yenu. Kubalini mwisho wa enzi zenu umefika kikomo.Roho ya ubinadamu ni kuruhusu ufisadi au siyo?!
Kwenye nchi yenye watu wanaojitambua... Mwigulu, Makamba, Ridwani... hawafai hata kuwazwa kwente nafasi ya UraisWee haya mambo ni ya hatari, Mwigulu Nchemba alijiandika nchi nzima kwamba yeye angekuwa rais 2015.
January a.k.a Njaakali yeye anakiu mno ya urais kuliko mtu mwingine yeyote
Bro,natamani tukutane nje ya hapa jf,tupigane bila sababu ukinishinda nitarudi nyumbani. Lengo nikupige hata ngumi moja nizitoe hizi hasira nilizonazo. Mjinga we we. Niko bukene tabora. Uko wapi nije?Tulia msumari wa moto ukuingie. Ulitaka wawekwe watu wako au? La muhimu ni kuwa na mawaziri wasio makatili.
Eti Ridwan jamani tumekisha yamerudi yaleyale sijui lini tutakuwa na akili ya kukumbuka yaliyopita , duhhh hatari.Tulia ndugu, nawe zamu yako itafika. Ulitaka wateuliwe ndugu zako au? La muhimu asilimia kubwa ya walioteuliwa wana roho ya ubinadamu.
Hahaha! Dogo huu mchezo hautaki hasira. Huwezi kuhimili hoja, hama jukwaa. Pole lakini, ndio imeshakuwa sasa.Bro,natamani tukutane nje ya hapa jf,tupigane bila sababu ukinishinda nitarudi nyumbani. Lengo nikupige hata ngumi moja nizitoe hizi hasira nilizonazo. Mjinga we we. Niko bukene tabora. Uko wapi nije?
Hata yeye anazuga kugombea urais 2025, atakaye gombea ni January junior. Ila anaweza kumuunganisha pamoja na Madelu ili Madelu aje agombee 2035.Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa.
Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey Mwambe, Kitlya Mkumbo, na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.
Kwanza kuutamani urais si dhambi hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)
Tujiulize, hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?
Rais ameingizwa chaka, katoa wasaidizi muhimu, na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.
Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya Rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea soon
Acha kulialia shika usukani waTz wakufuate. Si lazima upinzani huu unaoutambua. Hata wewe ongoza upinzani dhidi ya ccm .Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
ERA imepita hizi ni enzi za Rais Samia wengine kaeni kuleee nyuma muwe watazamaji tu. Kwani hata wao walikuwa watazamaji bora kipindi chenu hawakupiga kelele kama nyie. Tulia dawa iingie.Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa.
Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey Mwambe, Kitlya Mkumbo, na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.
Kwanza kuutamani urais si dhambi hata yeye ni mmoja Kati ya wanaoutamani urais kuendelea nao siku zijazo (kanogewa)
Tujiulize, hivi kuna vijana wanaoutamani urais kuliko January Makamba ,Mwigulu Nchemba na Ridhiwani kikwete?
Rais ameingizwa chaka, katoa wasaidizi muhimu, na kaingiza kundi lenye uchu wa madaraka litamsumbua sana huko mbeleni.
Kundi hilo wanahakikisha kila wanaemuona ni kikwazo kwao, humdanganya Rais Samia ya kuwa anahujumiwa ili njia iwe nyepesi kwao.
Hebu tuone haya mabadiliko yaliofanywa na Jakaya Kikwete kama ya na maslahi kwa taifa ,muda utaongea soon
Hahaha ndio yale yale mlimuhoji hayati mbona wote wasukuma.Mbona walioachwa wote wakristo ?
Hamnaga mzuri kwenu daima. Hamkumpenda kikwete eti anachekacheka, mkasema mnataka rais dikteta akaja Magufuli akaanza kuwadektetua mara mkaanza kuomboleza kwa vilio ...mkata demokrasia kaja mama kawaachia uhuru na demokrasia, mmeanza kumtukana matusi na kutaka kumpanda kichwani Sasa ngoja awanyooshe ili mjitambue.Samia hajawahi kufanya mabadiliko yenye maslahi kwa taifa bali kwa mafisadi na kwa jinsi alivyo mbaya atadumu sana huyu na hatuna ujanja
Hao aliowaondoa ni wachapa kazi kizalendo jambo ambalo halimpendezi Msoga na kwa jinsi Samia alivyo na nia mbaya basi atadumu sana mpaka nchi iharibike kabisa
Hatuna upinzani credible TZ itachukua miaka 50 au zaidi CCM kutoweka
Kwanini mnalazimisha kutuaminisha kwamba SSH hana macho, masikio, akili au busara? Kwamba haoni na wala hajui anachokifanya? Kwahiyo anafanyiwa kila kitu? Amekuwa gogo au mfu? Kwahiyo ndani ya chama mtu anaweza kufikia hatua ya kuwa mwanachama, mbunge, waziri na akapanda hadi kufikia ngazi ya makamu wa Rais bila cha akili wala hekima? Acheni kutuchosha kwa hoja za ajabu ajabu!
Wewe na mama yako ni hope less
Wewe chawa wa mama kulakula vya mwisho, nchi kupewa mtu ambaye kila kitu anacholetewa anashindwa kuhoji ni hatari tu. Viatu ni vikubwa sana kwake.
wafanye yote ila wakumbuke siku walalahoi watakaposhindwa kuvumilia maisha magumu wategeuka kama arab springKama mambo yataenda hivi 2025 si njema sana maana hata walala hoi wanalalamika
Hivi Ridhiwani na Nape ni watu competent kuliko Lukuvi na Kabudi ?,are seriously ?
Muandae mwanao na wewe umrithishe acha kuachama!!! Kubalini huu si wakati wenu na lile jini LA chato
Mama mzigo hamna kitu pale,yaani siri zake zote inje kumbe dhaifu
Mbona walioachwa wote wakristo ?