powercert_Tz
Member
- Jul 19, 2022
- 45
- 44
Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na majengo 28 ya huduma za wagonjwa mahututi, sasa vifaa vimeanza kufungwa ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi.
Tangu aapishwe kua Rais wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekua na mwendelezo mzuri katika utelezaji wa miradi iliyoachwa na mtangulizi wake, pia ameboresha sana huduma za Afya, Elimu na kuipa kipao mbele sekta ya kilimo. Sekta zote hizo ni sekta nyeti ambazo zinamgusa kila mtanzania, maendeleo katika sekta hizo yamewaacha wapinzani bila sera kabisa, zaidi ya kusifu uongozi wa serikali yake.
Mpaka kufika 2025, kwa kasi hii ya maendeleo katika sekta hizi, itawaacha wapinzani bila sera za msingi na kushindwa kutoa changamoto katika kinyang`anyiro cha nafasi ya uraisi. Hongera Rais Samia, umeonesha nguvu ya mwanamke na weledi wake pindi anapopata mamlaka, kweli #mamayukokazini