Rais Samia anaendelea kuwapa vijana kipaumbele sasa wafugaji wamefikiwa

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Serikali chini ya Rais Samia katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi inaendesha program maalum ya mafunzo ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na unenepeshaji kwa muda wa mwaka mmoja ambapo baada ya mafunzo kila mshiriki atapewa mtaji wa TZS Milioni 10.

Kuwapa vijana ujuzi na mitaji imekuwa jambo la kila siku linalofanywa na Rais Samia hususani katika kilimo na ufugaji.

Rais Samia Suluhu analengo la kupunguza tatizo la ajira nchini ndio maana anawasaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia ufugaji, kilimo na uvuvi
 
HAKUNA KITU HAPO KWANI WAFUGAJI HAWAKUWEPO. Kabla ya hao VIJANA?WAFUGAJI WALIOPO WANAHANGAIKA NA MIFUGO YAO KUTAFUTA MALISHO MIGOGORO NA WAKULIMA HAIISHI
 
Back
Top Bottom