Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

Tuna shida ya kupenda sifa.Sasa ndege za nini?
 
Kila Zama na kitabu chake,Rais Samia aulizwe Maswali kwa maamuzi yaliyotendeka kupitia wino wake akiwa Rais Wa Tanzania
 
Hata Mimi nilijiuliza je hajui?hakili yangu ikaniambia she knows.nikajiuliza Tena y she is still silent when she knows About all this? Hakili yangu ikani jibu all is be cause LIKO NJE YA UWEZO WAKE.nikaiuliza Tena hakili yangu ume juaje?na una uhakika gani?Je una ushahidi KWAMBA LIPO NJE YA UWEZO WAKE? hakili yangu ikani jibu ASINGEKUBALI KUAIBIKA KIRAISI LINGEKUWA CHINI YA UWEZO WAKE KWASABABU HAKUNA KIONGOZI TIMAMU ANAYE PENDA KUDHARAULIKA NA WATU WAKE
 
Huyu jamaa nilimshauri bora achukue kadi aanzie uvccm huko anaweza kifikia hitaji lake, yeye anaendelea kujanza insha jf.
 
Huyu jamaa nilimshauri bora achukue kadi aanzie uvccm huko anaweza kifikia hitaji lake, yeye anaendelea kujanza insha jf.
Hapa Ni jukwaa huru kwa ajili ya kutoa mawazo yetu kwa ujenzi wa Taifa letu,
 
Dhamira ya mh Rais ipo wazi na ambapo amekuwa akieleza wazi juu ya suala hili la umeme na masula mengine mengi yaliyo katika ilani ya ccm

Ww unamsemea kama Nani? Mwakilishi wake? Msemaji wake? Au msemaji wa taasisi ya urais?

Tukusikilize ww au shaka au msigwa au zuhura?
 
Hapa Ni jukwaa huru kwa ajili ya kutoa mawazo yetu kwa ujenzi wa Taifa letu,

Uhuru wako sio Kwa kumsemea rahisi wa inchi

Kuwa mkristo hakukupi mamlaka ya kuusemea ukristo

Kuwa mtanzania hakukupi mamlaka ya kila ukiamka asubuh umeshiba maandazi unaongea mambo ya rais Kwa lugha nyepesi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…