Waswahili hawakukosea waliposema " nioneshe rafiki yako nikwambie tabia zako"
Sote tunakubali mpaka sasa( hatujui hapo baadae) Mh Rais Samia( PhD honorius causas) Ni rais wa pekee sana.
Ni wa pekee kwa sababu ndio Rais ambaye ameweza kwa uwazi kukemea mambo maovu yaliyokuwa yakitendeka hapo nyuma.
Rais Samia Anafungua Nchi na kusafisha Nchi. How nice!
Ni muhimu sana kutambua kazi nzuri inayofanywa na wasaidizi wake.
Hawa ni wasaidizi aliowateua Aprili 16, 2021.
Hatuna cha kuwapa bali tunasema sisi wanachi wapenda Haki, Amani na maendeleo mna sapoti yetu.