Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kuja tena huku atakuja kwa VISA. akitaka kununua vitenge kariakoo anaomba visa kwanza.Asuburi kurudi Zanzibar kwa boti....
10yrsAsuburi kurudi Zanzibar kwa boti....
Haijuwi=HAIJUI...wakati unasoma ulifundishwa ujinga.Simu mpya haijuwi Kiswahili, usiwe mshamba wewe.
Maendereo hayana chama4Rs ndio habari ya mjini mama kanyaga twende tumechelewa sana.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mama anaupiga mwingi mpaka maaskofu wamechanganyikiwa.Maendereo hayana chama
hebu tueleze, amefanya kitu gani kipya, ukiondoa vile alivyoanzisha magufuli au alivyovifanya magufuli. kuwa honest tu.Kasi ya maendeleo anayofanya Rais samia kwa miaka hii miwili tuu haijawahi kufanywa na Raisi yeyote wa nchi hii tangu tupate uhuru. Zunguka vijijini ndio utaelewa namaanisha nini.
Kama wameanzisha wao, why wanachuki nayo?Tec wakiamua wanafuta dini yenu, msisahau ndio waloianzisha!!
Ni maigizoKama wameanzisha wao, why wanachuki nayo?
Hajafanya hata kimoja tangu aingie ikulu.hebu tueleze, amefanya kitu gani kipya, ukiondoa vile alivyoanzisha magufuli au alivyovifanya magufuli. kuwa honest tu.
Simple tu, nipo maeneo yanayozalisha ufuta, mwaka huu tumeuza kwa bei ambayo hatujawahi kuifikia hata mwaka mmoja tsh 4100 kwa kilo moja ya ufuta. Pili tupo katika msimu wa mbaazi, tunauza kwa bei ya kihistoria tsh 2100 kwa kilo na tunatarajia itapanda zaidi minada ijayo(kipindi cha jiwe ilishuka thamani mpk tulikuwa tunauza kwa tsh 100, mpk wengine wakakata tamaa ya kulima hili zao). Tatu, kwa trend hii ya bei, tunatarajia makubwa zaidi kwenye korosho. Hapo sjaelezea bei za mahindi, maharage na nafaka zingine.hebu tueleze, amefanya kitu gani kipya, ukiondoa vile alivyoanzisha magufuli au alivyovifanya magufuli. kuwa honest tu.
Sauti ya wengi ni sauti ya MunguSimple tu, nipo maeneo yanayozalisha ufuta, mwaka huu tumeuza kwa bei ambayo hatujawahi kuifikia hata mwaka mmoja tsh 4100 kwa kilo moja ya ufuta. Pili tupo katika msimu wa mbaazi, tunauza kwa bei ya kihistoria tsh 2100 kwa kilo na tunatarajia itapanda zaidi minada ijayo(kipindi cha jiwe ilishuka thamani mpk tulikuwa tunauza kwa tsh 100, mpk wengine wakakata tamaa ya kulima hili zao). Tatu, kwa trend hii ya bei, tunatarajia makubwa zaidi kwenye korosho. Hapo sjaelezea bei za mahindi, maharage na nafaka zingine.
Mama ameleta maana halisi ya kilimo biashara. Yaani wangoni huwaambii kitu kuhusu mama Dk Samia.
Bado, sijagusia ajira lukuki alizozimwaga, kupandisha madaraja, nyongeza ya kudibua ya mishahara. Miradi ya afya, elimu,barabara,maji, umeme vijijini.
Haters hawapendi kusikia habari hizi.Simple tu, nipo maeneo yanayozalisha ufuta, mwaka huu tumeuza kwa bei ambayo hatujawahi kuifikia hata mwaka mmoja tsh 4100 kwa kilo moja ya ufuta. Pili tupo katika msimu wa mbaazi, tunauza kwa bei ya kihistoria tsh 2100 kwa kilo na tunatarajia itapanda zaidi minada ijayo(kipindi cha jiwe ilishuka thamani mpk tulikuwa tunauza kwa tsh 100, mpk wengine wakakata tamaa ya kulima hili zao). Tatu, kwa trend hii ya bei, tunatarajia makubwa zaidi kwenye korosho. Hapo sjaelezea bei za mahindi, maharage na nafaka zingine.
Mama ameleta maana halisi ya kilimo biashara. Yaani wangoni huwaambii kitu kuhusu mama Dk Samia.
Bado, sijagusia ajira lukuki alizozimwaga, kupandisha madaraja, nyongeza ya kudibua ya mishahara. Miradi ya afya, elimu,barabara,maji, umeme vijijini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Faiza pamoja na kwamba mimi nikija zenji utaniita chogo, hauachi kujadili mambo ya Tanganyika, ninyi hamuwezi kuishi bila Tanganyika.
Tatizo yanaongozwa kisiasa na makada wanaoteuliwa kiitikadi.Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma yawe ya umma kiukweli, Watanzania wauziwe hisa na wawe na kauli nayo.
Kama mama Samia alivyofanya TPA mwaka 2021 ,alifumuwa fumuwa bodi ya wakurugenzi, wengine wapo mashakani wanaweza kufungwa kwa wizi na ubadhirifu. Ndivyo anafanya kwa mashirika mengine yote ya umma na kiserikali. Kasema wazi "ukiuwa shirika, ufe nalo hukohuko, ukija kwangu nakuuwa mimi na sitanii".
Serikali hatimaye yaachilia mashirika 28 yanayomilikiwa na serikali
![]()
ARUSHA: Jumla ya makampuni 28 ya serikali likiwemo Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) yataachiwa huru wiki hii, afisa mwandamizi wa serikali alisema Jumamosi jijini Arusha.
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amemweleza Rais Samia Suluhu Hassan katika kikao kazi kilichowakutanisha Mwenyekiti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma mkoani Arusha kuwa makampuni hayo sasa yatakuwa huru kutokana na mchango wa Serikali.
Taasisi ambazo zote hazijafichuliwa ni pamoja na Vyuo 13 vya Elimu ya Juu vya Umma. Mchechu alisema maendeleo hayo mapya ni matokeo ya mabadiliko yanayoendelea katika taasisi za umma nchini kote.
“Tumefikia muafaka na Wenyeviti na Wakurugenzi wa vyombo hivi. Tunataka kuona makampuni mengi yanafanya kazi kwa uhuru,” alisema.
Mchechu aliendelea kubainisha kuwa baadhi ya taasisi hata hivyo zimeomba kuongezewa muda wa hadi miaka miwili ili kuwa huru kikamilifu.
Taarifa kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina zinaonyesha kuwa Rais anatarajiwa kutoa tuzo kwa baadhi ya makampuni yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2022/23.
Chanzo: State finally frees 28 state-owned enterprises - Daily News