Hivi mtu anakuta chakula kipo mezani yenyenurefu wa futi 12 na viti nane. Nani wa kumwambia huko nje khna njaa kali?Rais huwa nashindwa kumuelewa, kama anadanganywa na wasaidizi wake kama wengi wanavyomtetea, je, yeye kwa kupenda kwake mitandao ya kijamii, haoni haya malalamiko ya wananchi anaowaongoza?
Jibu lake ni either jeuri, ujinga, au vyote; kwasababu kwa akili ya kawaida, kama kiongozi unashindwa kutatua kero za wale unaowaongoza, basi umeshindwa kazi.
Kwani nchi haiendeshwi kwa kubebana kirafiki, au kauli za sauti laini isiyobadili hali ya mambo, bali inaendeshwa kwa kila mmoja wao pale alipo, kutambua majukumu yake na kuyatekeleza ipasavyo, bila kuleta ngonjera za data za kupika zisizoendana na uhalisia field, yule anayeshindwa aondolewe.
Lakini kuendelea kuwa nae ni ujinga wa anaewateua, kwa sababu mwisho wa siku, incompetency yao inamponza yeye kiongozi.
Kiongozi yeyote anayependa ku-delegate kila kitua halafu aletewe taarifa za mrejesho bila kwenda kwenye 'field' kuhakiki kinachosemwa na wasaidizi wake huyo ni dhaifu na ana lengo ovu.Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.
Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia anataka tuyagombanie
Imagine leo Mahindi gunia limefika 150,000. Sisi kipaumbele chetu ni kuilisha Kenya au kuhakikisha nchi yetu inakuwa na food security? Rais anafanya nini? Waziri mkuu yuko wapi? Waziri wa kilimo anafanya nini nchi inaingia kwenye mgogoro wa chakula?
Leo 1kg ya mchele imefika 3000 inakuwaje maana yake gunia la mchelewa 100kg ni kama 300,000.
Rais nashauri Kama miaka 60 ya uhuru umeshindwa kutuwashia umeme, kutupa Maji wakati 30% ya eneo la nchi ni maji tena yasiyo na chumvi na kutupa uhakika wa kula Bora ujiuzulu!!
Watumishi kwenye wizara ya maji wanafanya nini watumishi Tanesco wanafanya nini wanalipwa mishahara kupiga soga tu ofisini nchi inaanguka?
Hivi hii nchi watu mlala kabisa usingizi wakati watu hawana Maji umeme na chakula Cha uhakika?
Inatosha Sana Sana na najua unafanya makusudi tu mbona tulipopiga kelele kuhusu panga Road now wametulia?
Rais tupishe pls watu million 60 Kuna watu kibao Sana wa kuongoza hii nchi sio lazima wewe.View attachment 2418732
Hatogombea , maana hajawahi kugombeaNchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.

Basi unafundishwa na we uwe na akiri Kama mangi acha uzezetaMkulima yupi anayefaidika na hii bei??...wakulima kila siku wanapanga foleni kununua unga Kwa mangi...Mangi kashanunua mazao Yao yote kipindi Yana bei ndogo...Sasa hivi anayefaidika ni Mangi ( mfanyabiashara)..Mkulima Hana hata kilo mbili za mazao aliyolima Kwa mikono yake
Tukubali tu. Viatu vikubwa. Karudisha wote waliopigwa chini kisa walikuwa wanachukiwa kumbe hawakuweza kazi.
Eti hataki audui?! Mtu yuko incompetent unamrudisha tena wa nini?!
Eti tusifokeane wala kukanyana! Tutafika kweli?!
Kila akisafiri mchwa wanafanya kazi yao. Takukuru, polisi na vyombo vyote vya kulinda usalama rasilimali na maliasili viko butu.
Haya asilimia 85 mpaka 90 ya mwili wa binadamu ni maji. Yeye kakaa akiwatazama hao wahusika wakibabaisha!
It's too much kwa kweli.....
Wewe unajielewa? Samahani lakn!!Huwezi amini sijaelewa
Hatali mkuu yaani mama inaonekana hana maamuzi kabisaMsameheni tu mama wa watu. Hana sauti. Alifanya kosa kubwa sana kuwaingiza kwenye Serikali watu ambao wananuka UFISADI wa kutosha. Sasa wanampanga mama wa watu,anapangika vizuri na baadaye wanampangua.
Saa hizi wanapiga pesa kwa kiwango cha kimataifa. Nchi inachakaa kila kukicha. Ni hatari sana.
Ndo uwezo wake ulipo si unaona ametengaza kulipa watu walifoji vyeti na kujipatia ajira leo tena anawalipaRais huwa nashindwa kumuelewa, kama anadanganywa na wasaidizi wake kama wengi wanavyomtetea, je, yeye kwa kupenda kwake mitandao ya kijamii, haoni haya malalamiko ya wananchi anaowaongoza?
Jibu lake ni either jeuri au ujinga, au vyote; kwasababu kwa akili ya kawaida, kama kiongozi unashindwa kutatua kero za wale unaowaongoza, basi umeshindwa kazi.
Kwani nchi haiendeshwi kwa kubebana kirafiki, au kauli za sauti laini isiyobadili hali ya mambo, bali inaendeshwa kwa kila mmoja wao pale alipo, kutambua majukumu yake na kuyatekeleza ipasavyo, bila kuleta ngonjera za data za kupika zisizoendana na uhalisia field, yule anayeshindwa aondolewe.
Lakini kuendelea kuwa nae ni ujinga wa anaewateua, kwa sababu mwisho wa siku, incompetency yao inamponza yeye kiongozi.
Naona mama hana mpango wa kugombea maana siona atakachokuja kuwaambia watanzaniaNadhani JPM ALIKUA na Baraka Fulani Kwa wanyonge. JAPO kuna Mahali Nilikua sikubaliani Naye.
Lakini Kwa Miaka Mitano ya uongozi wake mvua zilinyesha za kutosha na Maji yalikua MENGI na vyakula vingi. Maono yake ya kuzuia chakula kutoka Nje yamelinusuru Taifa kuingia kwenye baa la njaa Kwa Miaka hii miwili mwaka Jana na mwaka huu. Kama SIO Akiba KUBWA ya chakula iliyokuwepo Hali ingekua mbaya sana.
Watu wanapaswa pia kukumbuka mazuri ya JPM. Sio kumponda Kwa sababu ya kuwabana majizi na wanafiki wanaoshiba kutokana na Rushwa za Siasa HUKU Taifa likiwa halina mipango ya muda mrefu.
Alikopa Lakini alisimamia Mikopo Kwa nguvu zote Bila kuwahurumia wezi waliojaribu kuiba fedha za umma.
Mama Inabidi awe mkali na asiste kuvunja baraza au kutengua Bila huruma.