Tuliwaasa ila mkawa kichwa ngumu! Hakuna mtu anaweza kuingiza kichwa chake katika mdomo wa mamba. Hata katiba mpya ni geresha tu, Nani anyanganywe madaraka, ashitakiwe etc atakuwa ni hayawani tu kukubali katiba Mpya. Mmesahau ile ya JK ambapo Chadema mlitoka nje.Hajawahi kupenda demokrasia na tayari Chadema imeanza kumstukia
Niwaeleze, hakuna katiba Mpya kama hakuna kifungu katika sheria kama nachosema mtu yeyote atakayehusika na uandaaji wa katiba Mpya asigombee uongozi wa nchi hii kwa miaka 20 including Rais.
Hapo tutapata katiba safi, bila hicho kifungu hakutakuwa na katiba Mpya ya maana maana kila mtu au kundi litatafuta liponee wapi! Watch my words my dear