- Thread starter
- #141
Uchochezi unajua? Mimi ni mzalendo natoa hoja bila mihemko mkuu! Kwa hiyo mnataka kila mtu anyamaze kama mlivyomnyamazisha Ndugai?
Acha uchochezi usio na maana. Kwa kawaida naamini mtu kutoa mawazo huru. Ila kuna kama nyinyi mnaotumia mwanya huo kuchochea. Hukufanya utafiti wowote wa unayoyasema, wivu tu wa ki..nga! Kwani Zanzibar ni Burkina Faso siyo Tanzania? Ukitaka anza kuhoji muungano ubadilishwe, siyo vitu vya kipuuzi kama hivi ambavyo ni matokeo ya aina ya muungano uliopo.