Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Uchochezi unajua? Mimi ni mzalendo natoa hoja bila mihemko mkuu! Kwa hiyo mnataka kila mtu anyamaze kama mlivyomnyamazisha Ndugai?
 
C mnajifanya Tanganyika wajanja sasa imefka wakati mtajua hamjui
Dah. Wakati wa utawala wa Mwinyi CCM bara walitibuka hadi kuanzisha G55 ya kina Njelu Kasaka kutaka kurejesha Tanganyika.

Baada ya hapo “wakajiapiza” kuhakikisha mzenji hatawali tena JMT! Mungu si Athumani. 2021 dodo likamdondokea mama SSH aliyekuwa kapuuzwa kwenye hesabu za Chama. Jiwe walilolikataa waashi …. Wakafurukuta hadi kwenye “kijigazeti” chao kudai ataishia 2025! Lakini yeye akawahakikishia hatafanya mchezo na hiyo dondokela. Breki ya kwanza ni 2030! Baada ya hapo upepo utaamua kama tuendelee hadi 2035 au vipi. Sasa hivi yuko kwenye full campaign mode. Mabango yanakuwa updated tu mabarabarani.

Naona sasa ndugu zetu wa CCM bara somo la katiba mpya litazidi kueleweka na mijadala itakuwa ya adabu zaidi.
 
Safari bado ndefu yajayo yanafurahisha
 
Ndugai hakuwa na hoja na hata kama ingekuwepo, haikuwa muungano.
Sasa hapa tunagombania mikopo ambayo wanzanzibar nao wanalipa kadiri ya walivyochukua... wewe unatakaje?
Uchochezi unajua? Mimi ni mzalendo natoa hoja bila mihemko mkuu! Kwa hiyo mnataka kila mtu anyamaze kama mlivyomnyamazisha Ndugai?
 
Hizi choko-choko mwishowe Muungano utavunjika. Hapo ndiyo mtafahamu kumbe Muungano ulikuwa na mazuri yake. Kuvunjika kwa Muungano hakutawasaidia nyie wa Tanganyika, wala Wazanzibar.
Ni kweli Muungano una mapungufu, lakini hayo ni makosa yaliyofanywa na Nyerere, aliyekataa nchi kuunganishwa kabisa. La muhimu sasa ni kutaka kuwepo kwa 'kura ya maoni'. Hii ije baada ya kampeni ndefu ya kuwaelimisha wananchi mazuri na mabaya ya Muungano.
 
Hamna chokochoko wala.. kuna wanasiasa wachache uchwara wanaoamini kama kushambulia Uzanzibari wa mama ndio silaha yao. Sasa wanaajiri hawa vijana huku mitandaoni kuanzisha mada za kijinga..ni hivyo tu!
 
Aliyekwambia hawalipi ni nani?
Na huyo mwendazake zaidi ya nusu ya hela alizokopa hazijulikani zilipo.
+ ile miti yote kwenye kilomita 1,200 za mraba haijulikani alipeleka wapi!
Huyo hata km lingefika tril.100 tungelipa watanyika maana tungejua zinatunufaisha kwa asilimia 100 siyo sa hivi tunafaidi 79% tu na hawalipi
 
Hamna chokochoko wala.. kuna wanasiasa wachache uchwara wanaoamini kama kushambulia Uzanzibari wa mama ndio silaha yao. Sasa wanaajiri hawa vijana huku mitandaoni kuanzisha mada za kijinga..ni hivyo tu!
Haya mmeshinda! Mnajidai wanademokrasia masrahi yenu yakiguswa! Watu wameajiriwa how? Uchawa unakusumbia!
 
Hamna cha maslahi kuguswa... wewe hapa unafanya kazi ya shetani kuipasua nchi na hujali matokeo yake..
Hapo umeshika kasimu kako unajamba kwa starehe huku unachat uongo ambao hata huna uhakika nao.
Haya mmeshinda! Mnajidai wanademokrasia masrahi yenu yakiguswa! Watu wameajiriwa how? Uchawa unakusumbia!
 
Aliyekwambia hawalipi ni nani?
Na huyo mwendazake zaidi ya nusu ya hela alizokopa hazijulikani zilipo.
+ ile miti yote kwenye kilomita 1,200

Aliyekwambia hawalipi ni nani?
Na huyo mwendazake zaidi ya nusu ya hela alizokopa hazijulikani zilipo.
+ ile miti yote kwenye kilomita 1,200 za mraba haijulikani alipeleka wapi!
Kama ambavyo mgao unajulikana ni 21% wangetuambia na asilimia ya mrejesho kwenye deni.
 
Hahahah!!!!kazi ipo mpaka tukishtuka tushaliwa
 
Baada ya miaka saba au sita kutoka sasa natabiri watanzania bara ndio watakaokua wanalalamika na kutaka muungano uvunjwe tofauti na ilivyo sasa na miaka ya nyuma ambayo wazanzibari wamekua hawataki kusikia neno muungano.
 
Amachofanya sasa ni ksma anawawekea kauzibe wazanzibar siku za usoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…