Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawezaje kumsifu mtu mpuuzi ambaye mwaka jana tu, aliwaambia wa-TZ kwamba sababu ya kifo ni moyo? Anakuwa mbele ya mzungu anajikuta ameropoka. "YES!" Nadhani ni kuropoka bila kujua maana ya swali aliloulizwa.... mdogo mdogo MATAGA & Co; wataelewa tu. Ubishi mwingi akili punje ya haradali. Kauli rasmi kutoka kwa Rais na Amri Jeshi Mkuu vyombo vya ulinzi na usalama ambaye taarifa zote za taifa hili ziko mikononi mwake! Nani anapinga kauli ya Amiri Jeshi Mkuu?
Unajuaje kuwa hakikuhakikiwa? Suala la kutunza siri ni suala la wenye siri huko serikalini...kilitakiwa kihakikiwe ile kisitoke public, na huo ni wajibu wa Dr.Abbas, Msigwa, na Zuhura Yunus.
..suala la Jpm kuambukizwa Covid lilitakiwa libakie kuwa SIRI ya wakubwa huko serikalini.
... Rais hakosei Mkuu; mwenyewe aliwahi kulihakikishia taifa kwamba rais hakosei; kauli mpya ina-override ile ya awali huo ndio utaratibu.Utawezaje kumsifu mtu mpuuzi ambaye mwaka jana tu, aliwaambia wa-TZ kwamba sababu ya kifo ni moyo? Anakuwa mbele ya mzungu anajikuta ameropoka. "YES!" Nadhani ni kuropoka bila kujua maana ya swali aliloulizwa.
Ukweli ni kwamba tunaosikiliza mazungumzo ya rais huyu, utagundua jinsi alivyo hysterical anapokuwa na wazungu. Hapo huyo mzungu ndo anasema ... contracted COVID.. Yeye anaishia kusema YES hata kabla ya sentensi haijafika mwisho. Ni papala za furaha ya kuzungumza na mzungu. Kumbuka anapohojiwa na waafrika anakuwa mwamba mkorofi bila sababu; Ref. mahojiano yake na Kikeke wa BBC.... Rais hakosei Mkuu; mwenyewe aliwahi kulihakikishia taifa kwamba rais hakosei; kauli mpya ina-override ile ya awali huo ndio utaratibu.
... anyway, kwa mjadala unaondelea kuhusiana na suala hili let's hope wasemaji rasmi wa serikali watafafanua au kuweka mambo sawa Mh. alimaanisha nini.Ukweli ni kwamba tunaosikiliza mazungumzo ya rais huyu, utagundua jinsi alivyo hysterical anapokuwa na wazungu. Hapo huyo mzungu ndo anasema ... contracted COVID.. Yeye anaishia kusema YES hata kabla ya sentensi haijafika mwisho. Ni papala za furaha ya kuzungumza na mzungu. Kumbuka anapohojiwa na waafrika anakuwa mwamba mkorofi bila sababu; Ref. mahojiano yake na Kikeke wa BBC.
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
I listened to this clip more than once.Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
Lini waliwahi kukiri kuwa aliugua covid?Hakuna sehemu kwenye clip yako amesema amekufa kwa covid ila kakubali kuwa alipata covid.
Kutokukiri kwao kabla kunabatilisha kilichosikika kwenye clip?Lini waliwahi kukiri kuwa aliugua covid?
.....who contracted COVID?.....
.......Ambaye alipata COVID?....
It doesn't mean kwamba alikufa kwa COVID! hata kama aliugua.
Nadhani inatakiwa kupata maana ya neno 'contract' kwenye masuala ya magonjwa. Ina maanisha nini?.....who contracted COVID?.....
.......Ambaye alipata COVID?....
It doesn't mean kwamba alikufa kwa COVID! hata kama aliugua.
Kwani kuna ushahidi wenye kuthibitisha maneno ya Lissu au bado kuna maneno tu?..wale waliokuwa wakimbishia Tundu Lissu kuhusu kilichomuua Jpm sasa wakamuombe radhi.
Kucontract = kushikwa au kuambukizwa.I listened to this clip more than once.
This is what i heard :
"Your predecessor was a complete different person than you are. You know, honestly he is not a big fan of vaccine, he is not a big fan of the science..."
Then mama SH replied.. "No, he is a scientist, remember...he is a chemist...he was a chemist"
Him "...who contracted covid!"
Mama SH: Yeah...
Therefore, if the word 'contract' means decrease in number or range, then it means that covid was decreased and not incresead in number. He wasn't contacted covid but he contracted.
Tusaidiane jamani, lugha hizi zinachanganya. Kama nimeelewwa tofauti mnisahihishe.