Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Bibi Hangaya a.k.a Rambo ni mnafiki namba moja, mara JPM kafa na Cardiac Fibrolliosis mara CORONA, so which is which?

Alipata maambukizi sio kumuua. Sikiliza video vizuri
 
Ni wazi tu phase ya kwanza mwaka 2020 alikimbia kijijini kwao.

Ya pili alijitahidi akabidi arudi mjini.

Tukatae au tukubali negligence yake kuhusu huu ugonjwa ilicost watu sana .

Yeye anawambia watu wachape kazi huku yeye akakimbilia kijinini mwezi March hadi May 2020
Duh! Mbona hoja hii ilishapitwa na wakati tokea Magufuli akiwa hai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wapi sasa kasema hivyo?

Ila machadema ni wapumbavu sana jamani!

Yani Magu bado anawabutua hata baada ya kufa!
 
Ni wazi tu phase ya kwanza mwaka 2020 alikimbia kijijini kwao.

Ya pili alijitahidi akabidi arudi mjini.

Tukatae au tukubali negligence yake kuhusu huu ugonjwa ilicost watu sana .

Yeye anawambia watu wachape kazi huku yeye akakimbilia kijinini mwezi March hadi May 2020
Kwenye nchi ambazo hawakukimbilia kijijini vipi hali zao zilikuwaje?
 
Na kuongelea Afya ya Kiongozi aliyepita kinatangaza utalii how ?

Si hizo sekunde wangetumia kuongelea Sokwe au Simba wanaopanda miti
 
I listened to this clip more than once.
This is what i heard :
"Your predecessor was a complete different person than you are. You know, honestly he is not a big fan of vaccine, he is not a big fan of the science..."
Then mama SH replied.. "No, he is a scientist, remember...he is a chemist...he was a chemist"
Him "...who contracted covid!"
Mama SH: Yeah...

Therefore, if the word 'contract' means decrease in number or range, then it means that covid was decreased and not incresead in number. He wasn't contacted covid but he contracted.

Tusaidiane jamani, lugha hizi zinachanganya. Kama nimeelewwa tofauti mnisahihishe.
Mkuu hawa bavicha ni wapumbavu mno
 
..corona ni kama booster ya hayo maradhi mengine.
Ndio nasema hayo maradhi mengine yamestopisha kusababisha vifo, kwa maana kama una kisukari au maradhi ya moyo na ukawa na corona basi ukifa itahesabika ni kifo cha corona tu na si vinginevyo.
 
Na kuongelea Afya ya Kiongozi aliyepita kinatangaza utalii how ?

Si hizo sekunde wangetumia kuongelea Sokwe au Simba wanaopanda miti

Nafikiri Rais Samia pia hakuelewa swali la huyo producer alijibu tuu yaaah halikuwa lengo lake kukubali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom