Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

... mdogo mdogo MATAGA & Co; wataelewa tu. Ubishi mwingi akili punje ya haradali. Kauli rasmi kutoka kwa Rais na Amri Jeshi Mkuu vyombo vya ulinzi na usalama ambaye taarifa zote za taifa hili ziko mikononi mwake! Nani anapinga kauli ya Amiri Jeshi Mkuu?
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
Sasa we mjinga unajua zaidi kuliko Samia ambae alikuwa makamu wake wa Rais? Kubalini huyo mungu wenu kafa na Covid19
 
Uliutangazia umma wa Watanzania kuwa hayati JPM alikufa kwa matatizo ya moyo na ukadiriki kwenda mbali na kudai kuwa alikuwa na matatizo ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi.

Leo hii unasikika ukikubali kuwa alipata Covid 19. Na hii ni wazi kuwa unakubali kuwa ndio ilimuua.

Sasa kwa nini uliudanganya umma wa watanzania?

Mbaya zaidi unadai alikuwa mkaidi juu ya uwepo wa Covid 19 japokiwa ni mkemia.

Kwa nini kama mkuu wa nchi udanganye umma kuwa alikufa kwa matatizo ya moyo wakati alikuwa na Covid 19?
 
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
Amekiri wapi mnapotosha

Greenberg:Who contracted covid...
SSH:Yes

Hapo amesema 'who died of Covid'?!
Msimlishe mama maneno
 
Hiyo sekunde ya 17 ukisikiliza kwa makini utasikia imeunganishwa... sasa sijui ni mtengeneza filamu au "watengeneza" filamu wetu. Ila hicho kipande kimechezewa kidogo.
 
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
Tatizo lugha, huyo journalist alichomeka bila mama kujua naye kaitikia yes yes kibongo kibongo. Lakini ingekuwa kiswahili asingejibu hivyo.
Maana Mama anajua JPM alikufa kwa sababu ya pacemaker ya moyo na siyo Corona ndo maana wenza wao hawakupa hata mafua, japo ni umafya wa hali ya juu ulitumika kuwaondoa hao watu, katibu mkuu wake, kaimu katibu mkuu wake, barozi maiga, etc. Ingekuwa ni Corona Samia naye angepata, mke wake etc.
 
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
Ni wenge tuu.hakuelewa alichoitikia.Anayemhoji naye ni mjanjamjanja hivi. wakati wa magufuli covid haikuwepo mpaka alipofariki ndiyo ikaingia kwa kasi bongo
 
Ile corona ya Delta ilikuwa ni kali sana. Siyo kama hii ya Omicron ambaye inaleta mafua makali tuu. Ile Delta ilimaliza wengi.
Delta ya mavi?

Yaani nyinyi madalali wa machanjo tunawasubiri kwa hamu sana!

The battle field is yet to get fire!
 
Kwenye nchi ambazo hawakukimbilia kijijini vipi hali zao zilikuwaje?
Unazungumzia nchi gani kuwa specific?

Maafa yalikua yakitokea na walikua wanatangaza?

Bongo madaktari walikua wanafanyiwa censorship na vibaraka wa dikteta hakuna kucertify death imetokana Covid-19.

Ni mtu mjinga tu ndio ataamini eti Covid -19 ilipita Tanzania bila kuua watu.

Phase ya 2 ilizoa watu sana Kuanzia January -February ila bado akashupaza shingo hadi ilipomfyeka na yeye.
 
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911
Hivi nyie kingereza mnakijua au mnababaisha? Contracted na died of ni vitu viwili tofauti!

Magufuli mwenyewe kuna mahali aliwahi kusema familia yake waliwahi kuugua covid! Na kuna kipindi alikaa sana Chato - kwamba anajifukiza, hivyo to contract covid ni possible! Dr Mpango contracted the disease when he was a finance minister! Hivyo elewa kiingereza.
 
I see!
She has been truthful this time though 😊 Siyo ile ya kusema sijui moyo umefanyaje!
Kazi iendelee!
Sikiliza tena mara tatu utaelewa swali na jibu lake, take it easy don't rush! Halafu uwe a dictionary karibu, au Google - kila neno utafute maana yake, utaelewa! Hasa neno contracted! Compare that word na haya - died of, sucurm to!
 
Aliekuwa anamhoji Samia baada ya kuuliza kama Magufuli alikuwa contracted na covid na kujibiwa ndiyo alimalizia kuwa:......"na wewe ndiyo ukaupata urais".Unaelewa maana ya hii sentensi?!
It doesn't directly mean he died of covid....

Japo i agree with you it 'implies'.....
It doesnt confirm anything..

Afterall unadhani SSH atarudi kutengua kauli yake kuwa Hayati alifariki kwa maradhi ya moyo?..NEVER
 
Aliekuwa anamhoji Samia baada ya kuuliza kama Magufuli alikuwa contracted na covid na kujibiwa ndiyo alimalizia kuwa:......"na wewe ndiyo ukaupata urais".Unaelewa maana ya hii sentensi?!
Na ukisikiliza vizuri sio 'then you became president'

Ni 'when you became president the first thing you did'......inafatia mazungumzo kuhusu alivyokubali chanjo...

Fatilia hio 'then na when'
Inabadilisha 'context'
Usipotoshe umma
 
Back
Top Bottom