Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

Mambo mengi sana tunayafanya mrengo wa kisiasa ili mradi kila mmoja aseme!
 
Ifikie mahala ijulikanike wazi kwamba mwanamke hakuumbwa aongoze watu ila watu wa dunia ndiyo wanalazimisha ionekane ni kitu cha kawaida.

Kama kiongozi mkuu anaona jambo fulani siyo lazima alizungumze yeye ilibidi wote aliowapa jukumu la kufanya kazi chini yake awa-push kila mara mambo kama haya wayatolee ufafanuzi lakini sababu mwanamke hana utashi wa uongozi anashindwa kung’amua vitu vidogo kama hivi.balozi aliye nchi husika,katibu wa wizara ya mambo ya nje waziri na naibu waziri wanalipwa mshahara wa kazi gani ikiwa mambo madogo kama haya hawajui kama wao ndiyo wahusika wa kutoa taarifa?
 
Baadhi ya waislamu mna akili ndogo sana.
Najua mnateseka na kuna jirani zangu wanakosa hata sabuni ya kufua kanzu lkn wanashangilia kuongozwa na dini yao hata kama anakosea.

Tuweke dini pembeni mufti na wachungaji wapo....huku tuongelee mystakabali wa nchi
Olewa ubarikiwe na Papa.
 
Huyu Kafiri kauliwa na Waislam kwenye vita ya kutetea Waislam, Mama Samia Suluhu Hassan atume salamu za rambirambi za nini sasa?! Ujue watu wanashangaza sana Kaka?!
Na wale watanzania wanaouwawa kila siku Afrika Kusini mbona asilimia kubwa ni waislamu na hakuna salamu za rambi rambi zinazotumwa?
 
Ifikie mahala ijulikanike wazi kwamba mwanamke hakuumbwa aongoze watu ila watu wa dunia ndiyo wanalazimisha ionekane ni kitu cha kawaida.

Kama kiongozi mkuu anaona jambo fulani siyo lazima alizungumze yeye ilibidi wote aliowapa jukumu la kufanya kazi chini yake awa-push kila mara mambo kama haya wayatolee ufafanuzi lakini sababu mwanamke hana utashi wa uongozi anashindwa kung’amua vitu vidogo kama hivi.balozi aliye nchi husika,katibu wa wizara ya mambo ya nje waziri na naibu waziri wanalipwa mshahara wa kazi gani ikiwa mambo madogo kama haya hawajui kama wao ndiyo wahusika wa kutoa taarifa?
Wizara ya mambo ya nje si ilishatoa taarifa? Unataka taarifa gani?
 
Hiyo mpya iliyotoka kwamba mwili wa huyo Mtanzania haupo ktk mikono ya Mzayuni bali upo mikononi mwa Hamas zimetolewa na afisi gani?

Au siku hizi nchi yako mna-share wizara na Israel maana nimeona wao ndiyo waliotoa huo ufafanuzi siyo hao niliowataja hapo juu.
 
Serikali haiwezi kutoa taarifa bila kujulishwa na serikali ya israel, Serikali ya israel ndio iliyotoa taarifa juu ya kutekwa na kuuwawa kwa watanzania, Serikali ya Israel ndio inawajibika kwa yaliyotokea, sababu hao vijana walikuwa chini ya uangalizi wao. Ni wizara ndio iliyowapeleka wazaz wao Israel .
 
Lawama zingine za ajabu sana,hakuna barozi ,hakuna waziri na hakuna katibu wizara husika hadi Rais aingilie kati!?
 
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
Hapa Tanzania ni hao vijana wawili tu ndio waliokufa? Wangapi wameuwawa kikatili hapa nchini mwaka huu? Je raisi anatakiwa lazima atoe pole kwa wote.
Acha chuki za kifala wewe.
 
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa tunayaona.

Imekuwaje rais wa nchi ameshindwa kutoa salamu za rambi rambi kwa misiba miwili iliyotokea kwa kuwapoteza vijana wawili nchini Israel? Lakini haraka sana ametoa salamu za rambirambi kwa kifo cha mwarabu fulani khuko arabuni! Hivi ni kweli rais wetu anaamini yeye ni mwarabu eti! OK ni mwarabu, hajui nchi anayoiongoza ni TZ?

Salamu njema huko kwenu arabuni.
Tanzania haina Rais kwasasa. Imejaa matapeli. Watanzania eleweni hivyo
 
Amerudi Arabuni ??

Baada ya kukatisha mkutano wa mazingira kuja Hanang, karudi jangwani?

Ndo maana alitaka safari ya Vice President iwe siri, yani kutuzoeza ku mind our business, yani safari zao tusitake sana kuzihoji hoji.... anajua wana masafari tata kila siku
 
Wizara ya mambo ya nje si ilishatoa taarifa? Unataka taarifa gani?
Ni rais mzembe tu! Hata kurudi toka Dubai ni mpaka kelele zilipigwa ndo akajitambua kwamba Hanang kuna mafuriko. Arabuni kwake ni zaidi ya Kizimkazi. Ni matokeo ya ubwana na utumwa. Ukitaka kuelewa zaidi Soma kitabu cha Walter Rodney; How Europe Underdeveloped Africa.

Madhara ya utumnwa ni zaidi ya minyororo. Mtu ana pua ya kikojani lakiniu yeye anahisi ni mwarabu na anafurahia kuitwa mwarabu
 
Kwa sarakasi za vifo vyao hata wewe ungetoa salam za rambi rambi?.uliambiwa katekwa mara inatolewa video akiuawa, amelala chini,hapo hapo unaambiwa mwili wake wameuchukua hamas.wewe kuweza?kwanini ile video haiendelei nani kaikata?
Niwaonyeshe inapoendelea?
 
Ifikie mahala ijulikanike wazi kwamba mwanamke hakuumbwa aongoze watu ila watu wa dunia ndiyo wanalazimisha ionekane ni kitu cha kawaida.

Kama kiongozi mkuu anaona jambo fulani siyo lazima alizungumze yeye ilibidi wote aliowapa jukumu la kufanya kazi chini yake awa-push kila mara mambo kama haya wayatolee ufafanuzi lakini sababu mwanamke hana utashi wa uongozi anashindwa kung’amua vitu vidogo kama hivi.balozi aliye nchi husika,katibu wa wizara ya mambo ya nje waziri na naibu waziri wanalipwa mshahara wa kazi gani ikiwa mambo madogo kama haya hawajui kama wao ndiyo wahusika wa kutoa taarifa?
Lete uchunguzi wa kisayansi unaodai kuwa uongozi ni swala la ke au me. Leadership is an art, leaders aren't born only
 
Back
Top Bottom