Rais Samia analala nje ya Ikulu?

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,

Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,

Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?

Your browser is not able to display this video.



Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
 
Hilo swali la anatokea wapi?
Hata nami pia nilijiuliza.
Nikakosa majibu.
Yaani wageni wanamtangulia ikulu, yeye anakuja baadae. Anatokea wapi? nje ya ofisi?
 
Rais anaishi humo ikulu ila kwa kupenda kwake misafara ya magari mgeni akifika yeye hutoka na kwenda kuanzia safari yake mbali ili aingie kwa msafara.
 
Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
 
Huyo Mwalimu wake ni nani na amemteua kwa nafasi gani ?
 
Reactions: G4N
Ulitaka alale wapi?
 
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Amempa mchongo wapii!!?
 
Angekuwa anawahi.
Hii ya kuja baadae na msafara, inaibua maswali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…