Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

Tatizo Tanzania tunapenda kulalamika kila kitu...

Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Rais haruhusiwi kulipa kodi kwenye mshahara wake labda biashara zake.

Kama mnataka alipe kodi piganieni kwanza katiba wakati wakina Mbowe, Slaa, Mnyika na heche walipodai katiba mliona kama wanapigania maslahi yao.

Haya ndio mambo ambayo rasimu ya warioba iliyaona!!!

Rais hawezi kuvunja katiba ndio maana ya utawala wa sheria!!
 
Inaonyesha hiyo katiba mpya ina mambo mengi mazuri mana kila kitu utasikia 'inatakiwa katiba mpya' nikipata muda nitasoma hiyo katiba mpya.
 
Tatizo Tanzania tunapenda kulalamika kila kitu...

Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Rais haruhusiwi kulipa kodi kwenye mshahara wake labda biashara zake.

Kama mnataka alipe kodi piganieni kwanza katiba wakati wakina Mbowe, Slaa, Mnyika na heche walipodai katiba mliona kama wanapigania maslahi yao.

Haya ndio mambo ambayo rasimu ya warioba iliyaona!!!

Rais hawezi kuvunja katiba ndio maana ya utawala wa sheria!!
🤣🤣
 
Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.

Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Elimu ya katiba inahitajika sana kwa Watanzania, wengi hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba, rais wa JMT ni exempted kulipa kodi.

Hili sio wewe peke yako imeuliza, liliwahi kuulizwa humu Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!, hivyo nikashauri, Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!

P
 
Muulize yeye baada ya kupata ruhusa ya mumewe
 
Elimu ya katiba inahitajika sana kwa Watanzania, wengi hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba, rais wa JMT ni exempted kulipa kodi.

Hili sio wewe peke yako imeuliza, liliwahi kuulizwa humu Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!, hivyo nikashauri, Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!

P
Wamefuta somo la Uraia/ Civics. Hiyo elimu ya katiba tutakutana nayo wapi?
 
Back
Top Bottom