Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

Wafanyakazi wote wa serikali, akiwemo Rais, hawalipi kodi hata mia.
 
Hujui chochote. Tafsiri Income Tax ni nini? Hivyo unajua Direct and Indirect Tax wewe?
Kodi ikikusanywa ndiyo sehemu yake fulani inaenda kulipa watumishi wa serikali mishahara. Sasa watatoaje tena sehemu ya mshahara uliotoka kwenye kodi na kulipa kodi? PAYE ya mfanyakazi wa serikali haiongezi hata mia kwenye kodi ya taifa, unachofanya ni kupunguza. Rais na wafanyakazi wote wa serikali ni wala kodi.
 
Nimeshakuambia hujui chochote kuhusu kodi. Kajielimishe mambo ya taxation na public finance ndiyo uje humu jamvini, the home of great thinkers. Mp aka sasa unabwabwaja tu. Ficha ujinga mbele ya kadamnasi.
 
Wewe ndiyo hufahamu chochote. Ukisikia viongozi wanasema "Tunalipa kodi" unafikiri ni kweli! Rais, waziri, mbunge na wafanyakazi wengine wote wa serikali hawalipi hata mia kodi.
 
Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.

Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Hakatwi kodi ndo maana hana uchungu na uchumi wetu.

Mimi ninapendekeza rais alipe kodi kupitia KATIBA mpya
 
Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.

Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Ukishafahamu ? Revamp katiba na mambo yote kodi wabunge walipe kodi etc.....
 
Wewe ndiyo hufahamu chochote. Ukisikia viongozi wanasema "Tunalipa kodi" unafikiri ni kweli! Rais, waziri, mbunge na wafanyakazi wengine wote wa serikali hawalipi hata mia kodi.
Kwa taarifa yako watumishi wote wa umma wanalipa kodi isipokuwa Rais pekee. Na hili ni takwa la Katiba yetu.

Kodi zipo za aina nyingi ikiwemo kundi la direct na indirect taxes. Direct tax ni Income tax inayolipwa kwa mfumo wa PAYE, yaani Pay As You Earn, Hii ni % ya mshahara wako. Hivyo, mwajiriwa yeyote Katika sekta yeyote iwe ya umma au binafsi wanalipa hii kodi.
Kodi zinazoitwa indirect taxes zinatozwa kwenye bidhaa. Hivyo kila unaponunua bidhaa unalipa kodi hii uwe ni mtumishi au siyo mtumishi wa umma. Katika kundI hili kuna excise duties, nk ambazo zinatozwa advalorem au vinginevyo. Isitoshe, kuna mfumo wa VAT ambao nao una maelezo yake. Itoshe tu kwa leo kukufumbua hayo. Elimika.
 
Back
Top Bottom