Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

Kwa taarifa yako watumishi wote wa umma wanalipa kodi isipokuwa Rais pekee. Na hili ni takwa la Katiba yetu.

Kodi zipo za aina nyingi ikiwemo kundi la direct na indirect taxes. Direct tax ni Income tax inayolipwa kwa mfumo wa PAYE, yaani Pay As You Earn, Hii ni % ya mshahara wako. Hivyo, mwajiriwa yeyote Katika sekta yeyote iwe ya umma au binafsi wanalipa hii kodi.
Kodi zinazoitwa indirect taxes zinatozwa kwenye bidhaa. Hivyo kila unaponunua bidhaa unalipa kodi hii uwe ni mtumishi au siyo mtumishi wa umma. Katika kundI hili kuna excise duties, nk ambazo zinatozwa advalorem au vinginevyo. Isitoshe, kuna mfumo wa VAT ambao nao una maelezo yake. Itoshe tu kwa leo kukufumbua hayo. Elimika.
Huwezi lipa kodi kwa kutumia pesa iliyotoka kwenye kodi. Mfanyakazi wa umma haongezi hata mia kwenye kodi ya nchi. Kinadharia, ikitokea nchi yote ni wafanyakazi wa umm. Kodi itakuwa sifuri, tena itakuwa hasi kabisa maana watadai mishahara yao kutoka kwenye kodi.

Kusema watumishi wa umma wanalipa kodi nu uelewa mdogo wa mambo.
 
Back
Top Bottom