Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #41
Inashangaza kuona aina hii ya sheria ambapo watu wanaolipwa hela nyingi wanaondolewa kodi lakini wenye kipato cha chini wanakatwa kodi. Hapa usawa mbele ya sheria haujazingatiwa.Raisi,
Mawaziri,
Wabunge,
Majaji wa mahakama kuu,
Wote inabidi walipe kodi za kila namna.
Hili la kuwaacha wasilipe ni jambo la hovyo kupita kiasi.