Inaonyesha hiyo katiba mpya ina mambo mengi mazuri mana kila kitu utasikia 'inatakiwa katiba mpya' nikipata muda nitasoma hiyo katiba mpya.Tatizo Tanzania tunapenda kulalamika kila kitu...
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Rais haruhusiwi kulipa kodi kwenye mshahara wake labda biashara zake.
Kama mnataka alipe kodi piganieni kwanza katiba wakati wakina Mbowe, Slaa, Mnyika na heche walipodai katiba mliona kama wanapigania maslahi yao.
Haya ndio mambo ambayo rasimu ya warioba iliyaona!!!
Rais hawezi kuvunja katiba ndio maana ya utawala wa sheria!!
Mbowe hatakuwepo?Mpenyezee swali Hilo Mzee wa ubwabwa Rungwe maana kesho Ako na kikao naye.
🤣🤣Tatizo Tanzania tunapenda kulalamika kila kitu...
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Rais haruhusiwi kulipa kodi kwenye mshahara wake labda biashara zake.
Kama mnataka alipe kodi piganieni kwanza katiba wakati wakina Mbowe, Slaa, Mnyika na heche walipodai katiba mliona kama wanapigania maslahi yao.
Haya ndio mambo ambayo rasimu ya warioba iliyaona!!!
Rais hawezi kuvunja katiba ndio maana ya utawala wa sheria!!
Elimu ya katiba inahitajika sana kwa Watanzania, wengi hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba, rais wa JMT ni exempted kulipa kodi.Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.
Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Muulize yeye baada ya kupata ruhusa ya mumeweMimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.
Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Hawachelewi kudanganya mkuuWatakuambia wewe ni mchochezi. Ila ingekuwa poa sana kama tungefahamu, ili na sisi walalahoi tupate moyo wa kulipa.
Hili likatiba limeozaElimu ya katiba inahitajika sana kwa Watanzania, wengi hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba, rais wa JMT ni exempted kulipa kodi.
Hili sio wewe peke yako imeuliza, liliwahi kuulizwa humu Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!, hivyo nikashauri, Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!
P
Kwa katiba ya mwaka 1977, tegemea kuitwa eidha mchochezi, au mhaini, au muhujumu uchumiMimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.
Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Wamefuta somo la Uraia/ Civics. Hiyo elimu ya katiba tutakutana nayo wapi?Elimu ya katiba inahitajika sana kwa Watanzania, wengi hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba, rais wa JMT ni exempted kulipa kodi.
Hili sio wewe peke yako imeuliza, liliwahi kuulizwa humu Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!, hivyo nikashauri, Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!
P
Kama huelewi umhimu wa katiba mpya basi wewe upo upande wa walaji wa fedha za umma.Inaonyesha hiyo katiba mpya ina mambo mengi mazuri mana kila kitu utasikia 'inatakiwa katiba mpya' nikipata muda nitasoma hiyo katiba mpya.