Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

Raisi,
Mawaziri,
Wabunge,
Majaji wa mahakama kuu,
Wote inabidi walipe kodi za kila namna.
Hili la kuwaacha wasilipe ni jambo la hovyo kupita kiasi.
Inashangaza kuona aina hii ya sheria ambapo watu wanaolipwa hela nyingi wanaondolewa kodi lakini wenye kipato cha chini wanakatwa kodi. Hapa usawa mbele ya sheria haujazingatiwa.
 
Mbowe Slaa na Heche wamewahi kulipa Kodi walipokuwa wabunge?
 
Nimeshakuambia hujui chochote kuhusu kodi. Kajielimishe mambo ya taxation na public finance ndiyo uje humu jamvini, the home of great thinkers. Mp aka sasa unabwabwaja tu. Ficha ujinga mbele ya kadamnasi.

Tuelimishe wewe kuhusu kodi kwanza
 
Inashangaza kuona aina hii ya sheria ambapo watu wanaolipwa hela nyingi wanaondolewa kodi lakini wenye kipato cha chini wanakatwa kodi. Hapa usawa mbele ya sheria haujazingatiwa.

Inashangaza wakati wa Magufuli hakuna aliewahi kuuliza mbona Magufuli halipi Kodi?...wala wabunge wake wala mawaziri wake?

Hadi ma Dc hawalipi kodi
 
Inashangaza wakati wa Magufuli hakuna aliewahi kuuliza mbona Magufuli halipi Kodi?...wala wabunge wake wala mawaziri wake?

Hadi ma Dc hawalipi kodi
Alihoji Tundu Lissu akala shaba, alihoji Saanane akapotezwa.
 
Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.

Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Samahani kidogo, wakati upo mdogo uliwahi dondoshwa ukafikia sehemu ya Utosi?
 
Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi.

Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
Kwa katiba yetu ya sasa,ukishakuwa rais mambo ya kodi hayakuhusu
Hukatwi kodi mzee

Ova
 
Hayo unayoyasema yameelezwa wapi ili sote tupate kuelewa na kupunguza maswali siku za usoni?
 
Mkuu Paskali unataka kuniambia kuna kipengele kwenye katiba ya sasa kinachosema rais asilipe kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…