Rais Samia anamaanisha CHADEMA kuna Ugomvi Unaendelea?

Rais Samia anamaanisha CHADEMA kuna Ugomvi Unaendelea?

Baadhi ya maneno kwenye hotuba yake yanadai kuwa kuna mpasuko ndani ya chama ambacho alikuwa anakinanga na akaenda mbali kuashiria kwenye hicho chama wapo wanao muunga mkono ndiyo maana kuna huo msuguano.

Huku uswahilini watu wanao fuatilia mambo yasiyo wahusu wamepewa jina baya sana. Au basi.
Atuambie yeye. Maza anadadia mitumbwi ya vibwengo tu
 
Baadhi ya maneno kwenye hotuba yake yanadai kuwa kuna mpasuko ndani ya chama ambacho alikuwa anakinanga na akaenda mbali kuashiria kwenye hicho chama wapo wanao muunga mkono ndiyo maana kuna huo msuguano.

Huku uswahilini watu wanao fuatilia mambo yasiyo wahusu wamepewa jina baya sana. Au basi.
Aliyesema hqyo anajifariji
 
Au baachiii ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Mh.Rais SSH amewafanya desh desh kuwa ndembendembe [emoji1787]

#Mama Anaupiga Mwingi [emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
"Jambazi" akapaza sauti.....

Niliacha wizi wa magari nikawa mfuasi wa huyu "jamaa" ila nimegundua "jamaa" ni dalali tu wa siasa.....bora niende miguuni pa mama....

Jambazi akili zimemkaa sasa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA wanavurugana hilo lipo wazi. Au nyie ni viziwi na vipofu kwamba hamuoni wala kusikia jinsi Lissu anavyojipambania mwenyewe huko Arusha?
 
Leo nimeamini nchi hii Hakuna usalama wa Taifa. Wanawezaje kuruhusu Rais ahutubie umbea?
 
Back
Top Bottom