Msalimie Busu la KengeUmepiga kama Lucas Mwashambwa
Busu la Kenge nakuambia Nyangwisi wewe kuna bonge la uzi nimeandaa nataka nishushe mwezi huu kuhusu wewe , nakuahidi utalia kwa uchungu sana.Msalimie Busu la Kenge
Haha!Hehehe sijui nacheka nini😅
Msalimie Busu la Kenge
SayngayBusu la Kenge nakuambia Nyangwisi wewe kuna bonge la uzi nimeandaa nataka nishushe mwezi huu kuhusu wewe , nakuahidi utalia kwa uchungu sana.
Hapa nipo studio naEdit kidogo kijasusi ili niuweke kimkakati mods wasije kupitia nao.
Maarrass Mongo ! You will face a humiliation worse than death and I will make you feel how miserable it is to be alive . I promise you a pathetic Scumbabag you will cry regretfully just wait and see , Maarass
Maarrass , sema nabisha nianze kushusha makombora Leo Leo .Sayngay
Mwashambwa BKatika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
za kichokoKatika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
Siasa yenye kiwango ni ile iliyochanganya hoja na busara na wala sio upotoshaji na utengenezaji wa maudhui ya kuchafuanaSiasa inabidi iwe na kiwango.
Mfano La Lissu ni Siasa .
Ila Hili la Polepole sio Siasa na wala sio Utu ambao CCM wanabeba kama agenda yako kuu "utu na Kazi".
Siasa za kutekana na kupotezana kisa umeongea . sio Siasa shemej angu Shammy-
Alamsiki
Ona hii mbuziBoss kubwa Mpaji Mungu njoo uone Kaka ako mask imeanguka huku.