Naunga mkono hoja , kwa hakika ni mfano wa kuigwa hata katika maisha halisi.Ukomavu wa kisiasa ndio huu anaouonesha kipenzi cha watanzania Mama samia...
Naaam!Naunga mkono hoja , kwa hakika ni mfano wa kuigwa hata katika maisha halisi.
Nasalimia Busu la Kenge .
Wala huo sio ukomavu wala uvumilivu wa kisiasa...Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
Huyo mama hamna kituUkomavu wa kisiasa ndio huu anaouonesha kipenzi cha watanzania Mama samia...
Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
Unajua nini kuhusu siasa nyamwi255 wewe, naona huku unakoenda u apoteaSiasa yenye kiwango ni ile iliyochanganya hoja na busara na wala sio upotoshaji na utengenezaji wa maudhui ya kuchafuana