Mtoto wa Mimba iliyoingilia Pub jikaze mji mkubwa huoOna hii mbuzi
Ulichoongea hapo ni propaganda ya mipasho, no point. Hizo ndiyo theory zenu mkikaa vikao ambazo havina research, intuition, hamna hata proven kitu hapo.Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
Shida mnajitoa ufahamu , hakuna ukomavu hapa, acheni jitia kimbelembele na kumdanganya mama wa watu , wenda hamjui ,uyu mama wa watu mmemfikisha katika matatizo makubwa sana na sidhani kama yupo na fulaha kwa kinachoendelea .Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
Kaingia kwenye mfumo round hii full kuimba pambioBoss kubwa Mpaji Mungu njoo uone Kaka ako mask imeanguka huku.
Unaweza ukawa umeandika hoja nzuri tu ila baada ya kuonyesha chuki yako dhidi ya Uislamu,hoja yako ikageuka na kua ni hoja iliyoendeshwa kwa chuki ya udini zaidi kuliko uhalisia,Ulichoongea hapo ni propaganda ya mipasho, no point. Hizo ndiyo theory zenu mkikaa vikao ambazo havina research, intuition, hamna hata proven kitu hapo.
1- Kwanza- Nchi kwa sasa imegawanyika, na haijawahi kugawanyika kama ilivyo sasa, kiitikadi na kidini, nchi imekuwa fragile- yaani haieleweki.
2- Baada ya Mkapa kufariki, kabaki mtandao JK, King maker, Pamoja na the Gang. Hivi damange aliyoifanya Humphrey kwa huyu jamaa na group lake lote hilo the GANG utasafishaje? Hamna tena. Hata tuliokua moderate sasa hivi kushaanza kuamini. Haiwezekani Humphrey aseme uongo.
3. Kwa sasa kila mtu anaamini kuwa ABDUL, MChengerwa na JK ndiyo wameshika hatamu zote, financed by Arabs wa UAE, Oman na Qatar, je hao watafanya hadi lini? Tanzania ni nchi ndogo duniani lakini kwa Afrika ni kubwa sana ina population ya 65 millioni. Mnategemea sana baada ya uchaguzi muanzishe tena diaologue ambayo itawafanya mnunue muda mmalize miaka mitano mingine mjiimarishe. With Tanzania Islamization (I am sorry mimi siamini dini). Mnajua waTanzania ni rahisi sana ku-assimilate.
4. Kitu ambacho mnakisahahu ni kuwa wasomi wa nchi hii mmewaacha nje, na hii nchi wasomi hawana pesa, na wanajua kbasa wanamtumkia farao kwa msala upitao, smae as JWTZ wanaheshimu Katiba tu, ningekuwa zamani walishafanya vitu vyao.
5. Vyombo vya usalama vyote- POLiCE -Corrupt, TISS -Corrupt, sasa hivi imebaki JWTZ, laini very divided, Vijana wote wanataka mambo yawe leo, wale wa juu wanaangalia picha nzima, Money(financing), Organization and Logistics, Strategy ipo tayari.
6. Mwisho kabisa hata Judiciary, na legislative apparatus zote zishakua compromised. Nchi ni Functionless.
Tungoje baada ya October, where the money will come from!!!!!!!!!!
Akili hunaUlichoongea hapo ni propaganda ya mipasho, no point. Hizo ndiyo theory zenu mkikaa vikao ambazo havina research, intuition, hamna hata proven kitu hapo.
1- Kwanza- Nchi kwa sasa imegawanyika, na haijawahi kugawanyika kama ilivyo sasa, kiitikadi na kidini, nchi imekuwa fragile- yaani haieleweki.
2- Baada ya Mkapa kufariki, kabaki mtandao JK, King maker, Pamoja na the Gang. Hivi damange aliyoifanya Humphrey kwa huyu jamaa na group lake lote hilo the GANG utasafishaje? Hamna tena. Hata tuliokua moderate sasa hivi kushaanza kuamini. Haiwezekani Humphrey aseme uongo.
3. Kwa sasa kila mtu anaamini kuwa ABDUL, MChengerwa na JK ndiyo wameshika hatamu zote, financed by Arabs wa UAE, Oman na Qatar, je hao watafanya hadi lini? Tanzania ni nchi ndogo duniani lakini kwa Afrika ni kubwa sana ina population ya 65 millioni. Mnategemea sana baada ya uchaguzi muanzishe tena diaologue ambayo itawafanya mnunue muda mmalize miaka mitano mingine mjiimarishe. With Tanzania Islamization (I am sorry mimi siamini dini). Mnajua waTanzania ni rahisi sana ku-assimilate.
4. Kitu ambacho mnakisahahu ni kuwa wasomi wa nchi hii mmewaacha nje, na hii nchi wasomi hawana pesa, na wanajua kbasa wanamtumkia farao kwa msala upitao, smae as JWTZ wanaheshimu Katiba tu, ningekuwa zamani walishafanya vitu vyao.
5. Vyombo vya usalama vyote- POLiCE -Corrupt, TISS -Corrupt, sasa hivi imebaki JWTZ, laini very divided, Vijana wote wanataka mambo yawe leo, wale wa juu wanaangalia picha nzima, Money(financing), Organization and Logistics, Strategy ipo tayari.
6. Mwisho kabisa hata Judiciary, na legislative apparatus zote zishakua compromised. Nchi ni Functionless.
Tungoje baada ya October, where the money will come from!!!!!!!!!!
Sub-humanAkili huna
Ripoti ya mauaji ya Ali Kibao imetoka?.Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.
Wakati baadhi ya wanachi wachache wenye nia ya kubomoa na kuhatarisha amani yetu , wanaharakati uchwara wakijadili mqtukio hayo ya kutengenezwa kwa hisia na mihemko tofauti, kipenzi cha watanzania Mama Samia ameendelea na ratiba zake za kikazi na kampeni bila kuonesha hofu wala wasiwasi.
Kitendo hiki kinaonyesha si tu kujiamini kama kiongozi, bali pia maturity ya kisiasa inayotofautisha viongozi wenye misimamo thabiti na wale wanaotetereka mbele ya presha za umma.
Katika mazingira ambayo taarifa nyingi zinasambazwa bila uthibitisho, Rais Samia anaonesha kuwa uongozi makini haujibui kwa hisia bali kwa utendaji na nidhamu ya kazi.
Uthabiti huu ni ishara kuwa uongozi wa mwanamke unaweza kuwa imara, thabiti na wenye dira, tofauti na mtazamo wa zamani uliokuwa ukipunguza nafasi ya wanawake katika siasa za nguvu.
Kwa kuendelea na majukumu yake licha ya kelele za wajinga wanaotaka kuhatarisha amani yetu, Rais Samia ameweka mfano wa kiongozi anayeelewa kwamba heshima ya taifa inalindwa kwa utulivu, si kwa mbio za kisiasa.
Kwa hali hii, raisi wetu kopenzi mama samia anabaki kuwa mfano wa ujasiri wa kimya (silent courage) aina ya ujasiri unaoonyesha nguvu ya kweli ya kiongozi: kufanya kazi kwa utulivu, wakati majuha wengine wakosa nidhamu wakiwa wanapiga kelele
Mama haterereki wala hatopotezwa ama kuyumbishwa na miluzi ya mbwa!
Alamski
Majemba ya siku hizi sio kabisa yani.Kaingia kwenye mfumo round hii full kuimba pambio
Hatari sana zizi lishahamwaMajemba ya siku hizi sio kabisa yani.
Half Njemba Half Sam Smith.
kama umeshiba tafuta choo unyeKatika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano wa kipekee wa utulivu wa kisiasa na uthabiti wa uongozi.