GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ulichoongea hapo ni propaganda ya mipasho, no point. Hizo ndiyo theory zenu mkikaa vikao ambazo havina research, intuition, hamna hata proven kitu hapo.

1- Kwanza- Nchi kwa sasa imegawanyika, na haijawahi kugawanyika kama ilivyo sasa, kiitikadi na kidini, nchi imekuwa fragile- yaani haieleweki.
2- Baada ya Mkapa kufariki, kabaki mtandao JK, King maker, Pamoja na the Gang. Hivi damange aliyoifanya Humphrey kwa huyu jamaa na group lake lote hilo the GANG utasafishaje? Hamna tena. Hata tuliokua moderate sasa hivi kushaanza kuamini. Haiwezekani Humphrey aseme uongo.
3. Kwa sasa kila mtu anaamini kuwa ABDUL, MChengerwa na JK ndiyo wameshika hatamu zote, financed by Arabs wa UAE, Oman na Qatar, je hao watafanya hadi lini? Tanzania ni nchi ndogo duniani lakini kwa Afrika ni kubwa sana ina population ya 65 millioni. Mnategemea sana baada ya uchaguzi muanzishe tena diaologue ambayo itawafanya mnunue muda mmalize miaka mitano mingine mjiimarishe. With Tanzania Islamization (I am sorry mimi siamini dini). Mnajua waTanzania ni rahisi sana ku-assimilate.
4. Kitu ambacho mnakisahahu ni kuwa wasomi wa nchi hii mmewaacha nje, na hii nchi wasomi hawana pesa, na wanajua kbasa wanamtumkia farao kwa msala upitao, smae as JWTZ wanaheshimu Katiba tu, ningekuwa zamani walishafanya vitu vyao.
5. Vyombo vya usalama vyote- POLiCE -Corrupt, TISS -Corrupt, sasa hivi imebaki JWTZ, laini very divided, Vijana wote wanataka mambo yawe leo, wale wa juu wanaangalia picha nzima, Money(financing), Organization and Logistics, Strategy ipo tayari.
6. Mwisho kabisa hata Judiciary, na legislative apparatus zote zishakua compromised. Nchi ni Functionless.

Tungoje baada ya October, where the money will come from!!!!!!!!!!
 
Shida mnajitoa ufahamu , hakuna ukomavu hapa, acheni jitia kimbelembele na kumdanganya mama wa watu , wenda hamjui ,uyu mama wa watu mmemfikisha katika matatizo makubwa sana na sidhani kama yupo na fulaha kwa kinachoendelea .

Acheni hii tabia mara moja asema Bwana
 
Tanzania ni nchi ya wanafiki
 
Unaweza ukawa umeandika hoja nzuri tu ila baada ya kuonyesha chuki yako dhidi ya Uislamu,hoja yako ikageuka na kua ni hoja iliyoendeshwa kwa chuki ya udini zaidi kuliko uhalisia,

Japo umejaribu kwa kujificha ficha na kujidai eti wewe huamini dini!
pia umetaja nchi za kiislamu tu,ina maana nchi za Mabeberu wao hawapo tz? mfano machimbo ya almas kule Mwadui,beberu anachimba toka nchi haijapata uhuru mpaka leo,

Punguza chuki ya udini ili uonekane kua unachangia hoja na sio chuki ya udini.
 
Akili huna
 
Ripoti ya mauaji ya Ali Kibao imetoka?.
 
kama umeshiba tafuta choo unye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…