GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukomavu wa kisiasa unaujua wewe? Siku hizi watu wameishiwa hoja maana.
 
Nasalimia Busu la Kenge .

Na nampa ujumbe huu : wewe Busu la Kenge huo mpango wako wa kuoa nitaufanyia njama njama siwezi Kukubali mtoto wa watu angukie mikononi mibaya ya Nyangwisi mbugia mibange.

Mpuuzi kama wewe Busu la Kenge haustahili kuwa na hata familia unapaswa kuishi miserable life katika Ubarbarian na uzeekee hukohuko ukiwa jitu la hovyo.

Ukitaka nisiblock mipango yako piga magoti huku ukilia na kuahidi kuacha kuwa Barbarian, Mabange na kuwa raia mwema . Marrass Kenge we !!
 
Wala huo sio ukomavu wala uvumilivu wa kisiasa...

Kiongozi mkomavu na mvumilivu wa kisiasa ni yule asiyeogopa uchaguzi dhidi ya washindani wenzake

President Samia Suluhu Hassan is a coward and a bitch who can easily be revealed through these signs:

1. Kwamba ni kiongozi asiye na uwezo wa kiuongozi, aliyeshindwa kutoa uongozi wa nchi.

#Honestly, kilichopo Ikulu ni picha au kikaragosi tu. Tunaongozwa na nguvu nyingine tu iliyobeba uovu na si binadamu.

2. Kwamba ni kiongozi mwenye woga ambao nyuma yake unaambatana na kiburi na jeuri ya "kijinga" kwa sbb anakuwa hajui anataka nini..

3. Kwamba, ni kiongozi wa nchi asiye na maono, asiyejua anataka kulipeleka wapi taifa na ndio maana anatumia njia za kidikteta kujilazimisha kubakia madarakani hata kama umma haumtaki..!
 
Siasa yenye kiwango ni ile iliyochanganya hoja na busara na wala sio upotoshaji na utengenezaji wa maudhui ya kuchafuana
Unajua nini kuhusu siasa nyamwi255 wewe, naona huku unakoenda u apotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…