Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Kauli za huyu mzanzibar, zinaweza kuua hata utalii wetu
Fanya kazi wewe!! siku hizi kuna covid, chanjo hamtaki, mtalii gani anataka kufa kwa hela zake? unataka watalii wakuletee hela! wewe unatalii wapi kuwapa wenzio? unataka kupokea tu km nani D. Cameroon aliwahi tamka muwe mashoga mkalia! Lia!

ndo km haya mnapenda kutumia vya wanaume wenzenu!! Sasa wewe leo unatukumbusha dhambi hii tena? pyuuu!!!
 
Tujifunze kuheshimu mawazo ya viongozi anatutetea, unadhani wanaume wa handeni itakuaje wakiona mwanamke flat kifuani?
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy...
Jamani, hakuna kutania? Kila kitu ni kuchukulia serious? Mbona JPM alikuwa anasema sana and it wasnt an issue to some of you?

Kuna mtu amenichekesha kuwa sisi tuko busy na petty issue. Serious issues kama transition of power baada ya Rais kufariki, ilikuwa mtihani mwepesi kuuvuka.
 
Fanya kazi wewe!! siku hizi kuna covid, chanjo hamtaki, mtalii gani anataka kufa kwa hela zake? unataka watalii wakuletee hela! wewe unatalii wapi kuwapa wenzio? unataka kupokea tu km naniii...
Lazima tu kuna kitu wanaume kulilia watalii lazima kuna namna haiwezekani
 
Yani hivyo ndiyo vitu anavyovimudu kweri-kweri.

Inshort huyu Mama enu ameamua kuwazalilisha hao kina dada.
 
Ni kauli ya kudhalilisha kutoka kwa kiongozi wa nchi.

Ila wanasoka wa kike wa Tanzania huyo aliewandanganya kua kuendekeza Utomboy ndio mpira sijui ni nani?
Alimaanisha waangaliwe maslahi yao kwa sababu wanapiga tizi hadi wanakomaa. Kwa hiyo wizara husika iangalie namna endelevu ya kusapoti maisha yao sio kufurahia makombe tu wakati wenzao wamekomaa na mazoezi mpaka wanakoswa mvuto. Hilo ndio lengo la mama kwa wasichana hawa. Sasa kama kawaida nyumbu lazima washobokee kauli hii na kuipigia propaganda ionekane ni ya kuwadhalilisha wanawake
 
Mambo mengine S ya kukosoa ila kasema kweli nilikuwa naangalia olimpic Tokyo kwenye michezo ya wanawake mpira wa miguu their very cuteee
 
ILA MIMI NIMETOKEA KUMPENDA SANA MAMA. MUNGU TU AMTANGULIEAMLINDE AMPE AFYA, BUSARA NA MAISHA MAREFU.

MAMA SAMIA NA NDUGU MOHAMODOU BUHARI WA NIGERIA NDIO MARAIS AMBAO AFRIKA HUNIAMBII KITU!
Naona wananongwa wamemtafsiri vibaya Mama ameongea kama mzazi wa kike mwenye huruma kwa mabintize
 
Jamani, hakuna kutania? Kila kitu ni kuchukulia serious? Mbona JPM alikuwa anasema sana and it wasnt an issue to some of you?

Kuna mtu amenichekesha kuwa sisi tuko busy na petty issue. Serious issues kama transition of power baada ya Rais kufariki, ilikuwa mtihani mwepesi kuuvuka.
Hapana aisee utani wa matiti wa mabinti na mbaya zaidi anasema eti mwanaume akitaka kuwaoa hao mabinti akimpeleka kwao kumtambulisha ataulizwa huyo ni binti au mwanaume mwenzako??
 
Nimemsikia Rais juu ya timu ya taifa ya women football. Nikakumbuka na maneno ya Mkwassa alipokuwa coach wa timu ya ya Taifa ya wanawake. Then nikasema ameongea kiutu uzima. Hebu turudi hapa kwenye sababu za Boniface Mkwassa kuacha kuwa coach wa Twiga Queens mwaka 2012;
Screenshot_20210824-083010.png
 
Hapana aisee utani wa matiti wa mabinti na mbaya zaidi anasema eti mwanaume akitaka kuwaoa hao mabinti akimpeleka kwao kumtambulisha ataulizwa huyo ni binti au mwanamke mwenzako??
Mama anaupiga wote. Namkubali sana mama 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Maana tulikuwa tunamkaumu sana JPM
 
Sijaona shida. Ameongea kama MAMA. Kwa maana pana ansema angalieni watoto hao muweze kuwatunza vizuri wameletea nchi heshma. Mama niombe fedha za huo mfuko zitupie macho zisipigwe! Ni hayo tu. Pamoja na mifuko mingine inayoanzishwa wakazie macho wasipige.
 
Ni kweli kabisa alisema hayo maneno. Akiwa kama kiongozi wa nchi, tena Mwanamke hakupaswa kabisa kutamka hayo maneno dhidi ya Wanawake wenzake tena mbele ya vijana wa Kiume.

Kauli tata za viongozi huwa zinaleta ukakasi sana hasa kwa Wazungu. Kumbukeni yule Kiongozi wa Olympic kule Japan alivyoshambuliwa mpaka akajiuzulu baada ya kusema "wanawake wana ongea sana".

Kwa maneno hayo hata kama yalikuwa na ukweli lakini yalichukuliwa kuwa ni dharau kwa wanawake.

Sasa Madam SSH naye amesikika akisema, "wachezaji wanawake wanasura ngumu sana, ukimpeleka nyumbani Bi mkubwa atakushangaa na kukuuliza huyu ni mwanaume mwenzio au mwanamke"?

Ki ukweli Madam alikosea sana kusema hivyo. Naamini ataomba radhi maana Wazungu watamshikia bango mbaya. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angeshajiuzulu.

Tutarajie FIFA womens org kutoa tamko kali sana kulaani matamshi ya Madam President SSH.

Swali la kujiuliza, hakuna watu wa kumwandikia hotuba Rais Samia?????

Mama yupo sahihi. Ni kweli wengi wana sura ngumu na hawavutii. Pia, wengi wa hao mabinti wanajifananisha na wanaume kitu ambacho si sahihi. Mbona mabinti wa nchi nyingine wanaocheza soka wapo vizuri tu kimuonekano? Hawa wa kwetu wanafeli wapi?
 
Kwani alisema matiti yawe makubwa au madogo? Inabidi wanawake wamsikilize kiongozi sisi tutafuata tu wanalotaka kama makubwa sawa na kama madogo sawa tu wanaume wa Tanzania hatuna ubaya kama warembo wasivokua na ubaya.
😃😁😂😀😄😀😁😂😃😀🤣🙄
Jiwe Alisema Matiti Mnayo Sasa Hivi Mnashindwa Wapi Kufyatua Watoto
 
Upo sahihi na yanayotokea ndio upinzani unavyotakiwa,hata akitembelea mbuga za Wanyama ikitokea anatuonyesha faru wapinzani tutasema kumbe Raisi hawajui hata wanyama inakuwaje mtoto wa Tembo anakuwa faru ,halafu ishu inakuzwa mpaka anajuta kutembelea mbuga za wanyama.

Hapa Raisi atajuta kujisifia mwili wake , kuwaponda waliokuwa hawana machuchu.
 
Back
Top Bottom