Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.
Iβm at a loss for words!
View attachment 1905556
Fanya kazi wewe!! siku hizi kuna covid, chanjo hamtaki, mtalii gani anataka kufa kwa hela zake? unataka watalii wakuletee hela! wewe unatalii wapi kuwapa wenzio? unataka kupokea tu km nani D. Cameroon aliwahi tamka muwe mashoga mkalia! Lia!Kauli za huyu mzanzibar, zinaweza kuua hata utalii wetu
Hili jambazi la kukatwa mkono ndiye best au mlikuwa pamoja katika kukwapua pesa Za watu walizoziweka bankMagufuli ni the best president, ukimtoa Mkapa.
Ukweli mchungu!
Jamani, hakuna kutania? Kila kitu ni kuchukulia serious? Mbona JPM alikuwa anasema sana and it wasnt an issue to some of you?Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy...
Lazima tu kuna kitu wanaume kulilia watalii lazima kuna namna haiwezekaniFanya kazi wewe!! siku hizi kuna covid, chanjo hamtaki, mtalii gani anataka kufa kwa hela zake? unataka watalii wakuletee hela! wewe unatalii wapi kuwapa wenzio? unataka kupokea tu km naniii...
Alimaanisha waangaliwe maslahi yao kwa sababu wanapiga tizi hadi wanakomaa. Kwa hiyo wizara husika iangalie namna endelevu ya kusapoti maisha yao sio kufurahia makombe tu wakati wenzao wamekomaa na mazoezi mpaka wanakoswa mvuto. Hilo ndio lengo la mama kwa wasichana hawa. Sasa kama kawaida nyumbu lazima washobokee kauli hii na kuipigia propaganda ionekane ni ya kuwadhalilisha wanawakeNi kauli ya kudhalilisha kutoka kwa kiongozi wa nchi.
Ila wanasoka wa kike wa Tanzania huyo aliewandanganya kua kuendekeza Utomboy ndio mpira sijui ni nani?
Naona wananongwa wamemtafsiri vibaya Mama ameongea kama mzazi wa kike mwenye huruma kwa mabintizeILA MIMI NIMETOKEA KUMPENDA SANA MAMA. MUNGU TU AMTANGULIEAMLINDE AMPE AFYA, BUSARA NA MAISHA MAREFU.
MAMA SAMIA NA NDUGU MOHAMODOU BUHARI WA NIGERIA NDIO MARAIS AMBAO AFRIKA HUNIAMBII KITU!
Hapana aisee utani wa matiti wa mabinti na mbaya zaidi anasema eti mwanaume akitaka kuwaoa hao mabinti akimpeleka kwao kumtambulisha ataulizwa huyo ni binti au mwanaume mwenzako??Jamani, hakuna kutania? Kila kitu ni kuchukulia serious? Mbona JPM alikuwa anasema sana and it wasnt an issue to some of you?
Kuna mtu amenichekesha kuwa sisi tuko busy na petty issue. Serious issues kama transition of power baada ya Rais kufariki, ilikuwa mtihani mwepesi kuuvuka.
Anawazalilisha hao mabinti ajukite kwenye vitu vya msingi.Naona wananongwa wamemtafsiri vibaya Mama ameongea kama mzazi Wa kike mwenye huruma kwa mabintize
Mama anaupiga wote. Namkubali sana mama π π π π π πHapana aisee utani wa matiti wa mabinti na mbaya zaidi anasema eti mwanaume akitaka kuwaoa hao mabinti akimpeleka kwao kumtambulisha ataulizwa huyo ni binti au mwanamke mwenzako??
UsileeHuyu mama ana akili nyingi kumzidi Magufuli. Huwa ana busara na hekma
Yeye anaamini msichana asipoolewa hana utu..Huyu mama ana mentality mbovu sana
Ni kweli kabisa alisema hayo maneno. Akiwa kama kiongozi wa nchi, tena Mwanamke hakupaswa kabisa kutamka hayo maneno dhidi ya Wanawake wenzake tena mbele ya vijana wa Kiume.
Kauli tata za viongozi huwa zinaleta ukakasi sana hasa kwa Wazungu. Kumbukeni yule Kiongozi wa Olympic kule Japan alivyoshambuliwa mpaka akajiuzulu baada ya kusema "wanawake wana ongea sana".
Kwa maneno hayo hata kama yalikuwa na ukweli lakini yalichukuliwa kuwa ni dharau kwa wanawake.
Sasa Madam SSH naye amesikika akisema, "wachezaji wanawake wanasura ngumu sana, ukimpeleka nyumbani Bi mkubwa atakushangaa na kukuuliza huyu ni mwanaume mwenzio au mwanamke"?
Ki ukweli Madam alikosea sana kusema hivyo. Naamini ataomba radhi maana Wazungu watamshikia bango mbaya. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angeshajiuzulu.
Tutarajie FIFA womens org kutoa tamko kali sana kulaani matamshi ya Madam President SSH.
Swali la kujiuliza, hakuna watu wa kumwandikia hotuba Rais Samia?????
πππππππππππ€£πKwani alisema matiti yawe makubwa au madogo? Inabidi wanawake wamsikilize kiongozi sisi tutafuata tu wanalotaka kama makubwa sawa na kama madogo sawa tu wanaume wa Tanzania hatuna ubaya kama warembo wasivokua na ubaya.