Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Wawezeshwe matiti yawe makubwa au? Mbona sisi hata yakiwa madogomadogo hakuna ubaya,
Kwamba kuna uwezekano mpaka kustaafu kucheza, wasiwe na waume, ivo wapewe mitaji /asset zakuja wasaidia baadae.
 
Internet yote imekuwa overloaded na habari ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuwasema wanawake wenye sura ngumu ikiwemo wanawake wacheza soka.

Inategemewa wanawake wanaharakati na wadau wengine bila kujali jinsia zao wataendelea kuijadili kauli hii kwa upana.

Kwa haraka kuangalia Google, MSN, Facebook, Twitter na platforms/ majukwaa ya habari duniani leo hii tarehe 24 August 2021 Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonekana ku-trend katika habari za kidunia/ world news kushinda habari za Taliban wa Afghanistan
 
Yaani yoooote aliyoyasema watu wameshika matiti,kkazi kweli kweli....haya SAWA.
 
Kuongelea jambo hakutakaa kuishe mkuu, mie mwenye sura yangu mbovu watu hunambia na siwezi wakataza kuongelea hisia zao
 
Matiti hayo hayo mawi au anazungumzia yale ya mbuzi nangombe?
 
Ushamba upi aache kwa hiyo wewe ulioleta hizi picha ndiyo mjanja.
Mzee Mohamed nakuona unamtetea wa-dini wako. Juzi niliona umekumbuka gazeti la Uhuru lilivyomzushia Kigoma Malima ukasema, lilipoandka Samia amesema hagombei tena umekumbuka mbali!
 
Ni kauli ya kudhalilisha kutoka kwa kiongozi wa nchi.

Ila wanasoka wa kike wa Tanzania huyo aliewandanganya kua kuendekeza Utomboy ndio mpira sijui ni nani?
Bro ulicho sema Ni kwer wacheza wa kike wa bongo wana act kama matoboy
 
Rais Samia ni mwana CCM mwenzako, wewe shangilia tu usilalamike
 
Mfundisheni rais wenu kuwa sio kila kitu ni chakuongea in public. Hata kama anaona anachoongea kinaweza kuwa na maana fulani lakini aangalie muda na mahali anapoongelea.

Ngoja feminists wamtafune kwanza.
Magu mlishindwa ndio hapa wataweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…