babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Kifupi Maza kachokwa asubiri talaka toka kwa wenye nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka wote wajazie mtindi kama nani vile
Kama wao tu wanavyo kuaga na makuuuubwa na wanayasitiri lakini wapi tunayaonaSasa wafanye Je ?!. Ni maumbo waliopewa na Mwenyezi Mungu !!. Wajiumbe upya ?!
Kusema Jambo ambalo huwezi kulirekebishi ni upungufu nao . Wafanye Je !!
Mambo mengine yanatamkwa kama fine jokes. We can't be seroius kwamba kila kitu kinachotamkwa, we can't let it go!. Simple minds discuss people!
Kukaa tunaviziavizia matamshi na kuanza kuyakuza, ni kukosa kazi na idea za kujadili kama watu wenye akili zenye upeo wa juu
I hate this right from the bottom of my heart!
Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?
Nimejikuta nawaza hivi kwa nini jakate haolewi anajua matatizo yake mwenyewe, anataka wa kufanana na yeye.www.jamiiforums.com
Rais SSH anatutia aibu sasa.
Hapa siyo ku-underestimate bali ni ku-overestimate. Ndiyo maana nikasema kuna njia rahisi sana ya kummaliza, nayo ni wanawake weupe. Kwa nini watumie complex method wakati kuna njia zisizo na gharama kubwa na tena ni safe zaidi. BTW mimi siamini kuwa serikali inaweza kuwa na hiyo nia kwa sababu Gwajima siyo tishio la maslahi yao. Kwanza kuna ile clip ya ngono aliyojirekodi serikali ikiamua kumfunga kwa kujipiga na kusambaza picha za ngono inaweza. Pia siamini kuwa Horace Kolimba aliuawa.Don't underestimate your Enemies. Ukiishi Kwenye hii kauli Utakuwa Makini muda wote
So what? Kuongelea sura, rangi ya mtu ni UKABURU, na ni ufinyu wa mawazo. Kama mtu kazaliwa vile, wewe ni nani uongelee sura au muonekano wake? Sio wacheza mpira tu, wapo wanawake wengi hormones za kiume ni nyingi. Hayo ni maumbile yao. Inamhusu nini? Kama angetaka kuongelea maslahi ya wachezaji wanawake, aseme bila hizo comment za hovyo. Aibu tupu! Eti Rais. Mfyuuu!!Rais kasema ukweli wengi majike dume
Ile alitoa kama ushauri yaani wasimamizi wao wafikirie hatma yao huko mbeleni maana wanakuwa hawaolewagi tena hivyo kusababisha wabaki kama mgumba au mjane ambae alikosa mume kwa kuogopwa kuolewaHabari kuu usiku wa leo
Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika
Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.
My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.
USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561
Aliyozungumza yanatakiwa tafsiri? Hujui kiswahili vizuri? Mbona yako clear kabisa? Aliwakashfu na hakuna zaidi ya hapo. Unajua mtu anaweza kuwa na nia nzuri lakini namna anavyowakilisha hoja ikawa ni kashfa na ile nia nzuri ikafutika yote? Ngoja nikupe mfano. Tajiri mmoja alimwambia mwanamke: ''jamani unajua nakuonea huruma sana ulivyo na sura mbaya. Hata kupata wa kukuoa itakuwa shida. Ngoja nikupe walau mtaji ukusaidie.'' Huyo tajiri hata kama alikuwa anamwonea huruma yule mwanamke lakini lugha aliyotumia siyo ya utu hata kidogo. No one deserve to be treated like that, na hata kama msaada ukitolea, yale maneno hayakaa yafutike moyoni mwake.Mimi nilivyomsikiliza, naona ni tofauti na waungwana walivyomfasiri. Kikubwa yeye alihitaji kuboresha maisha ya wachezaji mara baada ya mpira wao kuisha, .
Ushauri uliyoambatana na kashfaIle alitoa kama ushauri yaani wasimamizi wao wafikirie hatma yao huko mbeleni maana wanakuwa hawaolewagi tena hivyo kusababisha wabaki kama mgumba au mjane ambae alikosa mume kwa kuogopwa kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi katika wacheza soccer ya kike ni wanawake dume.Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworth..
Sasa Kama Anakataza Watu wasichanjwe ww unaona Hapo Si Tishio.Hapa siyo ku-underestimate bali ni ku-overestimate. Ndiyo maana nikasema kuna njia rahisi sana ya kummaliza, nayo ni wanawake weupe. Kwa nini watumie complex method wakati kuna njia zisizo na gharama kubwa na tena ni safe zaidi. BTW mimi siamini kuwa serikali inaweza kuwa na hiyo nia kwa sababu Gwajima siyo tishio la maslahi yao. Kwanza kuna ile clip ya ngono aliyojirekodi serikali ikiamua kumfunga kwa kujipiga na kusambaza picha za ngono inaweza. Pia siamini kuwa Horace Kolimba aliuawa.