Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Tanzania's President criticized for calling soccer women 'flat-chests'

Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come under fire for remarks about women footballers having "flat-chests" and suggesting they would not be attractive candidates for marriage.
Yaani Raisi Samia anadhani mumewe alichoona hapo kwake ni hilo titi tu?
 
Nimemsikiliza Mama ila kaonge ukweli,hawa madada wanasura Ngumu sajapata kuona sasa wanaitaji wapate Pesa kupitia mpira walau wanaweza kuja kujimudu wenyewe baada ya kustafu Mpira au wanaweza kutapa wanaume kupitia Pesa zao .
Wanapenda kuwa hivyo. Miaka kama 6 hivi iliyopita wakati wa kombe la dunia kwa wanawake wachezaji mabinti wa Brazil kama sikosei au marekani waliambiwa na kiongozi wao wajiweke ktk mwonekana wa wanawake si wanaume. Hata hapa Mkwasa aliwahi kuwaambia akiwa kocha wao waachane na mapanki na kutembea mithili ya vidume.
 
Mama yuko sahihi tyuuu mbona wadada wa nchi nyingine ni wa Cutee.....
sema bongo mademu woote wacheza soka wana suraa ngumu sana

#Hata hawashawisiii aiseeeee#
Kabisa
fe6ff1607269a98059f0dacb7f7d10fe.jpg
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy...
Aliongea kama mwanadamu mwingine yoyote ambavyo angeweza kuongea. Hayati Magufuli aliongelea matiti kuhusiana na uvaaji wa mask sidhani kama wewe mleta mada kama ulikumbuka kuanzisha uzi kama huu!.

Wanawake huwa wanaangaliwaa kwa jicho fulani la tahadhari tofauti na namna ambavyo wanaume wanaangaliwa ni kasumba fulani imepitwa na wakati.

Pia tukumbuke Rais alikuwa anajenga hoja ya uanzishwaji wa michuano ya Samia CUP itakayokuwa na hadhi sawa na Kagame Cup ila hilo hatulioni tunashabikia umbeya zaidi.
 
Mama anazidi kuupiga, mwingi sijui wanawake flat kifuani wanajisikiaje. Je IGP ataanza kuwakamata wanawake flat wataoolewa na wale watakowaoa?. Hebu tudadavue hoja zake. Naona CCM wameshanglia sana juu ya hii crip ingawa wakati wakuomba kula hata hao flat watawaomba.
Nimeattach crip
 

Attachments

  • HOTUBA YA MAMA.mp4
    12.8 MB
Huenda huko kwenu mmelelewa mazingira ambayo Mama anaweza kusimama jukwaani na kukejeli matiti ya mabinti alafu mnasema ni utani.
 
Kweli..? Ndo Kasema hivyo.!! ..Ila kama yupo Sahihi wengi nikiwacheki hao Mabinti Wanafanana na hiyo description ya Mama.....! Kawadhalilishaje Sasa?
Labda tujue maana ya kudhalilisha hapa kisha tulitazame kwa mapana zaidi. Kwamba unaweza kusema chochote, popote mradi tu ni ukweli? Inatia shaka kidogo.
 
Gwajima nani ahangaike kutumia njia complicated namna hiyo kumdhuru wakati kuna wanawake wengi wazuri wanaoweza kutumika kumwangamiza within a minute? Anavyopenda wanawake huyu hata itachukuwa wiki kabla hujampata?
Don't underestimate your Enemies. Ukiishi Kwenye hii kauli Utakuwa Makini muda wote
 
Wanapenda kuwa hivyo. Miaka kama 6 hivi iliyopita wakati wa kombe la dunia kwa wanawake wachezaji mabinti wa Brazil kama sikosei au marekani waliambiwa na kiongozi wao wajiweke ktk mwonekana wa wanawake si wanaume. Hata hapa Mkwasa aliwahi kuwaambia akiwa kocha wao waachane na mapanki na kutembea mithili ya vidume.
Ni swala la Hormone sometimes. Hata Huku mtaani wapo Huwezi mlazimisha Afanye unayotaka ww. Sometimes Tuangalie hili swala kimaumbile na Kisayansi si Kihisia pekee
 
Back
Top Bottom