Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #261
Kaharibu alipozungumzia ‘matiti’.NN, Ngosha, embu icheze tena na urudie rudie umsikilize anachosema; mimi naona maneno hakuyapanga vizuri tu alichotaka kuzungumzia lakini inawezekana amesema kitu ambacho watu wengine wamekuwa wakikifiria. Anauliza maslahi ya hawa kina mama ambao wamejitoa kucheza hii michezo na kuachana na kujipendezesha kama watoto wa kike huko mbeleni yanakuwaje? Si unawaona kina Rapinoe? Wanavyohangaika kupata "equal treatment" na timu ya wanaume ya soka. Nadhani kuna overreaction fulani hapa. My 50 cents.
Ni kama body shaming hususan ukizingatia [and I don’t mean any disrespect here] yeye alivyo [well endowed].
Kwa kiongozi kama yeye kuzungumzia appearance za watu wengine ni jambo linalohitaji umakini sana katika kuchagua maneno ya kuyatumia.