Kwa hiyo unachagua mtu kwa kauli au maendelo atakayoyafanya kwa watanzaniaHalafu anajidai kutaka kuweka pini wengine wasigombee uRais 2025, iwe yeye tu, tuendelee na karaha kama hizi kwa miaka mingine 5?!! Haiwezekani. Wanaume mjiandae tu kuchukua kiti chenu.
Kwa mume wake, yeye yuko pale kuwahudumia watanzania na kutekeleza ilani ya chama chakeHivi Shh ana mvuto gani?
Huo ni mtazamo wake, lazima maadili ya kiafrika tuyalindeAkili fupi kaka kisoda! Kwani soka huchezwa Tanzania tu? Ukizungumzia maumbile unakuwa umevuka mipaka. Kwani wanawake wabaya au wazuri wako Tanzania tu??
Umeaibisha hata ufahamu wako!! Mwanamke sio wa kusema wanawake wengine ni wabaya. Na mwanamke sio mzungumzaji wa wanaume kuwa matiti ni dili sana katika kuolewa!!
Rais amejishushia heshima kuona mambo kwa mtazamo wa kuolewa kama ni big deal! Kuna wenye maziwa makubwa na hawaolewi vilevile na wala hawachezi soka. Je Rais anaweza kutupa sasabu????
Samenya hayuko hivyo kwa sababu ya michezo bali kibiolojia.Nani awaoe akina Semenya
Mimi naitwa Kahtaan.We faller kuna wakati uliomba radhi nilijua umebadikika kumbe bado umejaza mavi kichwani, karibu na endelea
Unafahamu maana ya Life Ban.Sawa mkuu The List naona baada ya life ban na kimya cha muda mrefu umekuja na ID mpya.
Mzee wa Imbecile. [emoji23][emoji23][emoji23]
Titi nyonyoKwanini unafukua hili kaburi?
Na alokwambia kiti cha urais Tanzania ni mali ya wanamme mumeo au buzi lako unalolichuna.Halafu anajidai kutaka kuweka pini wengine wasigombee uRais 2025, iwe yeye tu, tuendelee na karaha kama hizi kwa miaka mingine 5?!! Haiwezekani. Wanaume mjiandae tu kuchukua kiti chenu.
Comment ya mwisho kabla hii ya kwako, ilikuwa ni May 4, 2022. Karibu miaka miwili iliyopita.Kwanini unafukua hili kaburi?