Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

Hao CCM siyo wezi? Kwanza wizi wanaanzia kwenye kura. Na ukiona mtu analazimisha kuchaguliwa lazima afanye nguvu ya kufidia. Unajitoa tu akili na majina ya Mbowe na Lissu yanakuchanganya na bado utaweweseka sana. Mnavyochukuaga wapinzani mnawapa vyeo CCM hakuna watu wenye uelewa? Na si ndiko mnasema kuna watu wengi? Amka wewe. Vichwa viko upinzani. Endelea kuwapigia makofi kina Esther luxury bus wanaendelea kuongeza mabasi.
NDIYO KUSEMA WEWE UNAIJUA SANA CHADEMA KULIKO MSIGWA??USIINGIE KICHWA KICHWA KWENYE MIRADI YA WATU UTAPOTEA,WEWE KWA AKILI ZAKO UNADHANI SISI TUNAWEZA CHUKUA NCHI TUKAMPA MBOWE AWE RAIS??
 
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Kumbe anapambana kuyalinda madaraka!!
Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.
Nani kakwambia alipewa maneno hayo? Ikiwa huna ushahidi, huu ni uongo
Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.
Hivi hii timua timua ya akina Makamba nayo ni ya kujengea hoja ya kwanini waliondolewa? Hukuwepo walipofanya mambo yao? Hukusikia hata kauli? Hii nii ajabu!!
 
Hivi GEN-Z wamefaulu au wamefeli kuliokoa taifa na ile Sheria mbovu? Na ufisadi uliotishia taifa? Kama ujumbe ulifika na utekelezaji umefanyika basi wapewe hongera Kama ilikuwa kwa nia njema. Ila unapoponda watu wanaotetea kusiwe na Mikataba mibovu na kusiwe na wizi na huduma za msingi tupate, wewe ndo tunakushangaa. Kisichotakiwa ni kuvunja amani. Niambie ni amani gani iliyovunjika? Na kama walivunja amani Kwa nini waachiwe wasifunguliwe mashtaka? Hebu tuheshimu utawala wa Sheria kulinda amani. Wengi mnavuruga mambo kumharibia Samia wetu ionekane mnamtetea kumbe kitaifa na kimataifa mnamharibia.
WENZENU GEN Z WALIKUWA WANA HOJA YA KUELEWEKA MBELE YA SERIKALI YAO,NA NI MAANDAMANO YA WANANCHI,HAWAKUTAKA WANASIASA WAJIINGIZE KWENYE MKUMBO HUO,SASA TUELEZE NYINYI MAANDAMANO YENU NI YA NINI??
 
Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".

Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.

Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.

Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.

Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.

Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.

Hivi sasa mama anatapatapa, hajui amuamini nani na nani asimuamini. Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.

Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025
Pipe dream

Hawezi kutapatapa …. She has the instrument
 
UNAOTA NDUGU YANGU,AMKA HARAKA SANA KABLA HUJAJINYEA HAPO KITANDANI,PRESIDENT SAMIA PANAPO MAJALIWA YA UHAI MWAKANI MAPEEEEMA TUH AMALIZA MCHEZO,KWA UPINZANI GANI KWA MFANO,WA MBOWE??
Mbona una hasira sana hebu tuambie MAKONDA ulimlisha nini maana kwa hili povu usikute wewe ndo mwenye funguo za ghala la sumu inayowamaliza CCM nakutaarifu tu endelea na hiyo kazi
 
Mjadala ni Samia na urais 2025, si ccm. Tuna zaidi ya mwaka kuufikia uchaguzi mkuu mwakani, kisiasa ni muda mrefu sana.

Samia kajijengea maadui wenye nguvu sana ndani ya chama chake, dhana ya mwenyekiti ndiye kila kitu ni dhana potofu. Uthibitisho ni Kikwete alivyoshindwa kumpitisha Membe kugombea urais 2015.
SAMIA HADI 2030 HAMNA WA KUMPINGA, HAO CCM WANAOMPINGA HAWANA HIO NGUVU
 
Kama kungekuwa na Katiba mpya CCM isingeona ndani. Bahati yao wameng'ang'ania Katiba ya 1977 ndiyo itakuwa pona yao. Hata hivyo vijana wa Genz nao wamepamba moto na hawako kimya. Time will tell.
 
Mao Tse Tung na kitabu chake kiitwacho VITA VIREFU....

Tukisome kitabu hiki tuongeze maarifa juu ya hizi nchi zetu....

Sina shaka Rais wetu mh.Samia amekisoma kitabu hiki kwani ukiwa ni mwanaCCM nguli ni lazima utakifanya rejea....

CCM ni chama cha ukombozi....kamwe hakijaacha kuwa MACHO na harakati za uliberali mambo leo....

Samia hajaanguka...
Samia hataanguka...

CCM kamwe haitoanguka.....

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".

Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.

Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.

Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.

Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.

Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.

Hivi sasa mama anatapatapa, hajui amuamini nani na nani asimuamini. Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.

Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025
anguko gani?? aanguke mara mbili?? Mbona alishaanguka na wala hana Kibali hata kidogo, 2025 njia nyeupe kwa opposition, watapata support ndogo Toka CCM iliyogawanyika!
 
Umeandika kitoto sana...

CCM ni chama cha ukombozi wa. Afrika hakifanani na hivyo vyama vya msimu.....

CCM kinaendana na maumbile ya Tanzania na watanzania....

Tafakari
 
Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".

Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.

Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila mtu/kundi na hukuna tena wa kumuunga mkono tena.

Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.

Haikupita muda akasafisha wateule waliojulikana kama wafuasi wa sukuma gang....akina Kalemani, Dotto James, Herry James, Angelina Mabula, n.k.

Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya maafisa usalama, wasaidizi wake ikulu pamoja na akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.

Hivi sasa mama anatapatapa, hajui aliamini kundi gani (wema hawafi ama sukuma gang )? Hofu yake kubwa ni kuwa aliowatumbua watautumia upinzani kumsulubu, na ndiyo maana amesahau 4R zake na kuanza kuwakata hovyo wapinzani.

Nguvu kubwa kutaka kurejea tena ikulu inayotumika na rais Samia inatishia ushindi wake ktk uchaguzi ujao, 2025

N.B. Wakati wa kampeni za urais 2025 mkataba wa DP World utatembezwa kaya kwa kaya ili kila mwananchi ausome.

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1823252319720329332?t=peiBXTmpZ_OrYMofA9md9g&s=19
 
Mkuu Sexless umegonga kwenye mshono! Nyundo za bandari na DP world, loliondo, Masai na ngorongoro pamoja na mgawanyo mbovu na uwiano wa masilahi kati ya bara na visiwani. Sidhani kama atachomoka!
Atashughulikiwa ipasavyo huyu bibi mpk hataamini kiremba chake
 
Back
Top Bottom