Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

NDIYO KUSEMA WEWE UNAIJUA SANA CHADEMA KULIKO MSIGWA??USIINGIE KICHWA KICHWA KWENYE MIRADI YA WATU UTAPOTEA,WEWE KWA AKILI ZAKO UNADHANI SISI TUNAWEZA CHUKUA NCHI TUKAMPA MBOWE AWE RAIS??
 
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Kumbe anapambana kuyalinda madaraka!!
Alipoingia tu ikulu rais Samia alipewa maneno kuwa wabaya wake ni akina Dr. Bashiru, Lukuvi, Ndugai na Kabudi......akawaondoa.
Nani kakwambia alipewa maneno hayo? Ikiwa huna ushahidi, huu ni uongo
Sasa amekuja kugundua kuwa kundi lililokuwa likimpa ushauri nalo halina nia njema na hatima ya kiti chake. Ndiyo unaona timua timua ya akina Kinana, Nape, Makamba , n.k na wengine watafuata.
Hivi hii timua timua ya akina Makamba nayo ni ya kujengea hoja ya kwanini waliondolewa? Hukuwepo walipofanya mambo yao? Hukusikia hata kauli? Hii nii ajabu!!
 
WENZENU GEN Z WALIKUWA WANA HOJA YA KUELEWEKA MBELE YA SERIKALI YAO,NA NI MAANDAMANO YA WANANCHI,HAWAKUTAKA WANASIASA WAJIINGIZE KWENYE MKUMBO HUO,SASA TUELEZE NYINYI MAANDAMANO YENU NI YA NINI??
 
Pipe dream

Hawezi kutapatapa …. She has the instrument
 
UNAOTA NDUGU YANGU,AMKA HARAKA SANA KABLA HUJAJINYEA HAPO KITANDANI,PRESIDENT SAMIA PANAPO MAJALIWA YA UHAI MWAKANI MAPEEEEMA TUH AMALIZA MCHEZO,KWA UPINZANI GANI KWA MFANO,WA MBOWE??
Mbona una hasira sana hebu tuambie MAKONDA ulimlisha nini maana kwa hili povu usikute wewe ndo mwenye funguo za ghala la sumu inayowamaliza CCM nakutaarifu tu endelea na hiyo kazi
 
SAMIA HADI 2030 HAMNA WA KUMPINGA, HAO CCM WANAOMPINGA HAWANA HIO NGUVU
 
Kama kungekuwa na Katiba mpya CCM isingeona ndani. Bahati yao wameng'ang'ania Katiba ya 1977 ndiyo itakuwa pona yao. Hata hivyo vijana wa Genz nao wamepamba moto na hawako kimya. Time will tell.
 
Mao Tse Tung na kitabu chake kiitwacho VITA VIREFU....

Tukisome kitabu hiki tuongeze maarifa juu ya hizi nchi zetu....

Sina shaka Rais wetu mh.Samia amekisoma kitabu hiki kwani ukiwa ni mwanaCCM nguli ni lazima utakifanya rejea....

CCM ni chama cha ukombozi....kamwe hakijaacha kuwa MACHO na harakati za uliberali mambo leo....

Samia hajaanguka...
Samia hataanguka...

CCM kamwe haitoanguka.....

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
anguko gani?? aanguke mara mbili?? Mbona alishaanguka na wala hana Kibali hata kidogo, 2025 njia nyeupe kwa opposition, watapata support ndogo Toka CCM iliyogawanyika!
 
anguko gani?? aanguke mara mbili?? Mbona alishaanguka na wala hana Kibali hata kidogo, 2025 njia nyeupe kwa opposition, watapata support ndogo Toka CCM iliyogawanyika!
Umeandika kitoto sana...

CCM ni chama cha ukombozi wa. Afrika hakifanani na hivyo vyama vya msimu.....

CCM kinaendana na maumbile ya Tanzania na watanzania....

Tafakari
 
Mkuu Sexless umegonga kwenye mshono! Nyundo za bandari na DP world, loliondo, Masai na ngorongoro pamoja na mgawanyo mbovu na uwiano wa masilahi kati ya bara na visiwani. Sidhani kama atachomoka!
 
View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1823252319720329332?t=peiBXTmpZ_OrYMofA9md9g&s=19
 
Mkuu Sexless umegonga kwenye mshono! Nyundo za bandari na DP world, loliondo, Masai na ngorongoro pamoja na mgawanyo mbovu na uwiano wa masilahi kati ya bara na visiwani. Sidhani kama atachomoka!
Atashughulikiwa ipasavyo huyu bibi mpk hataamini kiremba chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…