Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

Ndugai alikosoa kwa kebehi lakin baadae akaandika barua mwenyew ya kujiuzul, polepole kamkosoa mama usiku na mchana hatimae na fupa kapewa arambe rambe mama hana noma
 
Hao wasaidizi wanaopatikana kimchongo hawana huo usmart wa kumsaidia.
 
Kasema sawa tu
 
IQ yako kubwa imekuwezesha kuwa Mchangiaji JF kwa jina la kughushi

mwenzio IQ yake ndogo imemuwezesha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama alitofautiana kwanini hakutuambia akiwa kwenye mukutano hapa nchini ameenda kujikomba akiwa kule. Issue hapo ni IQ tu.
 
Waliofurahishwa kufanya kazi na Magu ni kina Kingai, Sabaya, Bashite, Chalamila, Slow slow na wengine wenye tabia kama zao.
 
Okay siwezi kubisha maana sijui behind the scenes Nyerere alikuwa akijiandaa au la

Ila Nyerere alikuwa na umahiri wake na mapungufu yake, Samia nae ana umahiri wake na mapungufu yake

Pale kwenye mapungufu ndio tunashauri namna ya kurekebisha

Tutajie umahiri wa Samia, alafu you seem hujui unaandika nn.
 
Mbona jibu lilikua swala yeye na jiwe walitofautiana vitu vingi na akatolea mfano iyo covid alivyokua ana deal nayo Magu.
Kama kweli alitofautiana naye mbona mawaziri wa afya ni wale wale wa Magufuli?

Kama alitofautiana naye mbona hatukuwahi kuuona na barakoa mpaka baada ya Magufuli kuondoka?

Maneno yake na vitendo vyake haviendani. Kachemsha Kuja na hiyo statement.
 
Kumbe Kuna watu wakiongopewa ndiyo wanaona sawasawa.
-Uongo ni mbaya sana, huwezi kuahidi utapeleja maji vijijini halafu hupeleki maji kwa miaka 60 (ahadi za CCM) na wewe unaona sawasawa,
- Haipendezi kuambiwa hakuna Covid-19 wakati wapiga kura wako wanaumwa.
-Haipendezi kukataa kutoa taarifa ya
maambukuzi ya covid-19 na tahadhari kwa wananchi wakati unajua ukweli.
-Kwa watu wastaarabu na wanaojielewa huwezi kusema uongo,na ukisema uongo huwezi kuaminika asilani.
-Watanzania wengi wamekufa kwa Covid-19 na kuzikwa na Manispaa,
-Watanzania wengi waliguswa na janga la Covid-19.
Maoni yangu;
-Mama yuko sahihi na amejibu vizuri,ameshughulikia vizuri suala la Covid-19 tangu ameingia madarakani.
Kazi iendelee
 
Mwandishi: β€œKwanini wananchi wako ni maskini?”

Raisi: β€œHata mimi sijui.”
 
Ameshughulikia vizuri kwa kuchukua hatua gani kukabiliana na hiyo covid?

Labda useme kuwafurahisha wazungu tu kwa kukubali chanjo ila uhamasishaji watu kuchanja ni zero na hao viongozi kuvaa barakoa mbele ya camera tu basi.
Sasa huo si usanii tu hakuna cha maana kilichobadilika.
 
Mama hapaswi kulaumiwa yeye alishasema jukumu alilonalo lilikuja ghafla mno, hivyo lolote lenye kutokea kipindi cha utawala wake litakuwa ni la ghafla pia.
 
kilichoandikwa ni hiki- wewe umeelewa ulivyoelewa
Ms. Hassan, who is soft-spoken and comes across as reserved, said that as vice president, it was β€œtough” working with Mr. Magufuli at times, and that she argued with him on several issues, including his Covid denialism. She rebutted the idea that he had succumbed to Covid and said he had died of heart complications.
 
... TBC ambako maswali na majibu yanakuwa yameandaliwa kabla! "... wasaidizi wengi 'smart' ..."; hilo nalo jipu.
πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hawakuuoea interview ngumu. Wamezoea maigizo ya TBC sasa wakipata ka sapraizi lazima wachanganyikiwe.

Ndio wanatakiwa wajifunze kujibu hoja ngumu kuanzia hapa ndani badala ya kuzuia wengine wasiseme ili wasipate cha kujibu. Matokeo yake wakiende nje wanakua hawana kitu kichwani kila swali linakua geni.
 
Mama Samia Si mtoto mdgo na hajaanza kuhojiwa Jana au juzi Yule kaongea kitu ambacho kwake kipo sahihi japo Si sahihi kwa watanzania wengine ko Si swala la kumkingia kifua tayal amwonesha makucha, na ule ndo msmamo wake tayal kaonesha, tuendelee kua wavumilivu mengi yatatokea......,
 
bora huyu anajibu kibusara, Magu yeye alikuwa anakimbia. Ulaya alikuwa anaona kama jehanamu kukimbia maswali

Kwani Magu tulimchagua awe Rais wa kujibu maswali ya waMarekani..!???

Alichokifanya Magu ilikuwa ni sahihi, zunguka ndani ya nchi yako kujua na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi unaowaongoza
 
Kama kweli alitofautiana naye mbona mawaziri wa afya ni wale wale wa Magufuli?

Kama alitofautiana naye mbona hatukuwahi kuuona na barakoa mpaka baada ya Magufuli kuondoka?

Maneno yake na vitendo vyake haviendani. Kachemsha Kuja na hiyo statement.

Wale wale utendaji tofauti.
 
Kwani Magu tulimchagua awe Rais wa kujibu maswali ya waMarekani..!???

Alichokifanya Magu ilikuwa ni sahihi, zunguka ndani ya nchi yako kujua na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi unaowaongoza
kwani mada inahusu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…