Rais Samia anarudi zama za siasa za chuki au anawajibu wanaombipu?

chahali siku zote huwa unaongea bila kufikiri, na ni snich wa watu wanaokuamini hapa. utatangatanga nchi za watu kama nyani hadi lini bro? utafia hukohuko uskoshi bila hata kufurahia nchi yako. hadi huwa nakuonea huruma. nani asiyekujua watu uliowalisha kwenye mdomo wa mamba kwa kukuamini kuwa upo upande wao.
 
Bado wana matatizo yao mkuu, siyo kwamba democracy yao ipo perfect 100%, hamna democracy iliyo kamili 100%. Wachina wakaona wasiwe wanafiki waachane na hii democracy ya kuiga west
Mkuu afadhari uko Kuna onekana mwanga sio hapa kwetu Leo hii kupata haki imekuwa hisani je hili taifa ambalo tunapaswa kulijenga?

Leo Bunge 99% ni CCM ni muda Mama apeleka petition bungeni kufuta mfumo vya vyama vingi wabaki wao ili kuondoa hali hii maana ni wazi CCM siasa za ushandani hawawezi Sasa kinacho washinda ni Nini kufuta mfumo wa vyama vingi au kwa ajili ya kupata pesa toka kwa Wazungu.
 

Kama MTU ana elements za kichawi, aliyekuwa Lucifer atamtumia tu. Awe anajua au hajui ni wakala tu
 
Bibi Samia kashapagawa na ule mzimu wa ccm na anaaibika siku si nyingi.
 
Mimi nadhani kuna wakati pia nguvu ni wajibu itumike pale inapobidi; ukitumia nguvu na kiongozi naye atakuonesha nguvu zake. Tunaomba wanasiasa wakae chini kufikia muafaka wa kisiasa. Tunajenga nchi moja, yanini kutunishiana misuli?
 
Endelea kufurahia mateso ya kishetani wanayopewa watu wasio na hatia
 
Endelea kufurahia mateso ya kishetani wanayopewa watu wasio na hatia
Mtu gani asiye na hatia? Kwani angetii amri wangemkamata? Hati vitabu vinatutaka tutii Mamlaka zilizowekwa.
 
Anawajibu wanaombipu!


Hata JPM hakuwa na siasa za chuki ila hakutaka siasa uchwara kama hizi za akina Mbowe!
Mtu anayefanya siasa uchwara akikosea umuhukumu kwa kosa alilotenda sio hizi biashara za kubambikia makosa.Nchi inakosa kibali mbele ya Mungu,ndio maana miaka nenda Rudi nchi yetu haisogei mbele sababu ya machukizo kama haya mbele za Mungu
 
Dunia iko kwenye hatua za mwisho kukomesha udikiteta. Mama anajidanganya
😲🤣🤣🤣

Siasa za kukaririshwa eee?!!!

Watanzania wako na CCM yao....

#KaziInaendeleaKwaKasi
#NchiKwanza
#JMTMilele
 
Uongo mtupu....

CCM inazicheza vyema siasa hizi....

Unataka CCM itepeteshwe kwa MAANDAMANO na MAKONGAMANO ya kiitwacho KATIBA MPYA?!!

Katiba MPYA ni mambo ya CHADEMA na si watanzania wote....
 
Mama ashikilie msimamo wake hapo hapo. Kuna wenye nia ya kuiharibu nchi. Wanataka tuvurugane. Washindwe na walegeee.
 
Unadhani armed struggle ndio solution?

La hasha, remember watakaobeba bunduki ni waafrika hawa hawa

Nothing will change except primitive way of solving problems itarudi
 
Huwezi kufanya utakavyo ukaachwa tu kisa kuogopa kuitwa dikteta
Yule aluesema wembe uliotumika kumnyoa mtangulizi,utatumika kumnyoa mama mlimpigia makofi badala ya kumuonya
 
Mimi nadhani kuna wakati pia nguvu ni wajibu itumike pale inapobidi; ukitumia nguvu na kiongozi naye atakuonesha nguvu zake. Tunaomba wanasiasa wakae chini kufikia muafaka wa kisiasa. Tunajenga nchi moja, yanini kutunishiana misuli?
Umeandika nini wewe ?
 
CCM ilisha kufa ndio maana haishindi bila kuiba kura na kutumia jeshi la Polisi. Jiulize, kwanini mnaiogopa tume huru ya uchaguzi?
Nizungumzie kuhusu tume huru..
Nikukumbushe kwamba Zanzibar wamekuwa na tume huru na of course katiba mpya bora zaid. Lakin chin ya tume huru na katiba mpya kumefanyika chaguzi kadhaa ukiwemo ule wa JECHA na wa 2020 ambao ubunge ni chini ya 10% na urais ni chin ya 20%. Haya ni matokeo mabaya kuiliko yoke kwa upinzani tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…