Mbona nchi hii inaishi kwa misaada ya hao watu wa ugaibuni hizi propaganda cheep sanaHayo mapandikizi ni wahaini wakubwa wakibainika iwe fundisho kabisa, imagine mtu yupo Tanzania lakini familia yake inaishi kwa Kodi za watu wa ughaibuni... halafu kazi anayoifanya nchini ni upotoshaji na uongo kwasabu anajua Hana Chakupoteza huyo lazima tusimuonee haya. Amani yetu haipaswi kuchezewa.
Hiyo siyo misaada ni mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo wanarudisha kwa njia moja ama nyingine.Mbona nchi hii inaishi kwa misaada ya hao watu wa ugaibuni hizi propaganda cheep sana
Hiyo siyo misaada ni mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo wanarudisha kwa njia moja ama nyingine
Very cheap..viongozi wetu sijui wanatuonaje isee..Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje.
Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa.
Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao?
Tunawaona
Tunawajua
Hawajifichi.
Atupe majibu maana tayari ameshawapitisha kupitia CCM
Walikuibia ulikuwa unasinzia!Hiyo siyo misaada ni mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo wanarudisha kwa njia moja ama nyingine.
Wanaiba mpaka sasa kupitia Kikwete na Rostam! Samia aeleze sababu ya kumuuzia Rostam mgodi wa makaa ya mawe wakati serikali ilikuwa na fedha ya kulipia zile 70% ya shares za wabia?Walikuibia ulikuwa unasinzia!