Cha ajabu alivyo mkatili ni wanawake wenzake wanadhalilishwa na yeye hasemi kitu yupo tu. Arusha Makonda amemdhalilisha afisa wa serikali mwanamke Samia yeye haikumgusa yupo tu, hivi anaweza kweli kulinda mali za nchi hii na Waarabu na wezi wengine wa kimataifa?!s
Huyu anaishuzi, ni janga la taifaCha ajabu alivyo mkatili ni wanawake wenzake wanadhalilishwa na yeye hasemi kitu yupo tu. Arusha Makonda amemdhalilisha afisa wa serikali mwanamke Samia yeye haikumgusa yupo tu, hivi anaweza kweli kulinda mali za nchi hii na Waarabu na wezi wengine wa kimataifa?!
Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!
Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa?
Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kama familia ya mtu binafsi. , na hizo nafasi za DC , CCM mnazichukulia kama ni nafasi zenu na huwa mnawapa watu very low IQ ambao wengine hata form 6 hawajamaliza.
Kwanini Rais anateua nafasi za U DC? Why
Kwanini hizi nafasi zisiingizwe kwenye mchakato wa utumishi, watanzania wenye Qualification waombe na kufanyiwa interview, watanzania wenye akili na maelimu kwa sasa ni wengi mno, kwanini mnaendelea kutoa nafasi kama hizo kwa wasanii na watu wajinga , why manahodhi snaa position just kwa manufaa ya CCM ?
CCM Tupo Karne 21 to 22, msipobadlika na kuchange some of the useless regimen , na mka adopt the new code, you guys very soon mnakuwa kwenye death bed
USA, they go back and realized hatuwezi kuendelea na biashara ya utumwa, huko mbeleni hawa jamaa wataamka na kudai haki zao, lazima to abolish utumwa ili baadae mambo yasiwe mengi. They did .
A man was not born as a typical slave and you will not be able to enslave him forever, unless unahitaji bloodshed huko mbeleni.
Watu smart na wenye akili waliona hili that is why today , we have developed countries ambazo viongozi wetu ndio wanakuja kushangaa miji, akiwemo Samia.
Huko kwetu nchi nzima imejaa mabango kudanganya watanzania, ameweza ametimiza!
Do we really need huu uchafuzi wa mji mzima kuweka mabango kwa vitu nonsense, kama mtu anafanya kazi in a serious note, tuone output , sio kwenye mabango, hizo ni justification za kisiasa, and truly , it is not the right time to mislead watanzania na hizi cheap politics;
Tanzania is very very poor country yenye viongozi matajiri, shame .
Nafasi za UDC
Nafasi za Ukuu wa Mikoa
CEO wa mashirika ya umma
Wenyeviti wa bodi
Wekeni utumishi watanzania wenye sifa waombe; haya mambo ya ma PDF ,yamepitwa na wakati na ni ukiritimba wa Hali ya juu wenye masilahi binafisi na yameleta makarai mengi sana kwenye Ofisi za Umma.
Pia Soma
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
Huna haja ya kuwaondosha, wawekewe mazingira mazuri ya kufanya hiyo kazi a na walipe kodi na hayo sio kipaumbele ya taifaWell, Tufanye nn ili kuwaondosha Hawa Malaya ,mashoga, wafiraji alwaloamua kuzigeuza barabara zetu kua chimbo la ufsika wako.
Unashauri nn?.
Alisema MAKONDA " watu wavivu, wazembe, wezi ,Wala rushwa , watu walojaa uozo na mambo ya ovyo, Huwa wanakawaida ya kua na Umoja na mshikamani".
Inatuhitaji watu wachache kama aina ya Mkuu wa WILAYA , kusimama na kupambana.
Unauliza Na kujijibuWell, Tufanye nn ili kuwaondosha Hawa Malaya ,mashoga, wafiraji alwaloamua kuzigeuza barabara zetu kua chimbo la ufsika wako.
Unashauri nn?.
Alisema MAKONDA " watu wavivu, wazembe, wezi ,Wala rushwa , watu walojaa uozo na mambo ya ovyo, Huwa wanakawaida ya kua na Umoja na mshikamani".
Inatuhitaji watu wachache kama aina ya Mkuu wa WILAYA , kusimama na kupambana.
Jalalani huko alitolewa na usiku huu Mama atatoa maamuzi ili nae huyo DC akashauri vuzuri wauza KHivi walimuokota wapi, au alitokea uvccm?
Huna Akili.
Hata developed countries wapo hao watu
Wekeni mazingira mazuri huwezi kupangianwatu nn cha kufanya for as long as hawafanyi offense .
Watanzania mpo kwenye kisiwa akili zenu ni ndogo sana
Mmekosa kazi za kufanya, kuna mtoto kakamatwa pale
😂😂😂😂Ukahaba ni dhambi, wewe aliyekuambia dhambi ni nani?
After all , ukahaba ni dhambi pekee hapo Tanzania;? aidha, kimsingi kama ni dhambi, ni nani mwenye jukumu la kuhukumu dhambi? Au umetumwa na Mungu wako kumsaidia kuhukumu dhambi maana yeye amechoka, stupid is as stupid does .
Among ya watu waliokamatwa, wengine walikamatwa kimakosa Na ni aibu kwa familia, hili unaliwekaji.
Ukahaba ni kazi, wasajiliwe na wawekewe mazingira mazuri si inawateja, na wateja ndio sisi ndio nyie, tujifunze perspective za maisha.
Wewe hapo ulipo, umekuwa Na watu wangapi kwenye mahusiano yako, weka idadi hapa nikuoneshe ukahaba wako
Dhambi dhambi mungu ni babako wewe au msaidizi wako , ?
Inasikitisha sanaHayo ndo wanayapenda ..umpe mtu mwenye akili timam uongozi hayo maagizo ya kipuuzi toka juu si ataya reason wanapenda machizi likiambiwa zuia maandamano,hamisha watu pale umpe fulan fasta tu wanafanya.Hii nchi kuna watu wamejimilikisha na sisi wananchi tunajifanya kama hatuwajui wakati wanajulikana. Shame to be tanzanian.
Ww ni mmiliki wa madanguro. Wamekanyaga maslahi yakoKama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!
Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa?
Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kama familia ya mtu binafsi. , na hizo nafasi za DC , CCM mnazichukulia kama ni nafasi zenu na huwa mnawapa watu very low IQ ambao wengine hata form 6 hawajamaliza.
Kwanini Rais anateua nafasi za U DC? Why
Kwanini hizi nafasi zisiingizwe kwenye mchakato wa utumishi, watanzania wenye Qualification waombe na kufanyiwa interview, watanzania wenye akili na maelimu kwa sasa ni wengi mno, kwanini mnaendelea kutoa nafasi kama hizo kwa wasanii na watu wajinga , why manahodhi snaa position just kwa manufaa ya CCM ?
CCM Tupo Karne 21 to 22, msipobadlika na kuchange some of the useless regimen , na mka adopt the new code, you guys very soon mnakuwa kwenye death bed
USA, they go back and realized hatuwezi kuendelea na biashara ya utumwa, huko mbeleni hawa jamaa wataamka na kudai haki zao, lazima to abolish utumwa ili baadae mambo yasiwe mengi. They did .
A man was not born as a typical slave and you will not be able to enslave him forever, unless unahitaji bloodshed huko mbeleni.
Watu smart na wenye akili waliona hili that is why today , we have developed countries ambazo viongozi wetu ndio wanakuja kushangaa miji, akiwemo Samia.
Huko kwetu nchi nzima imejaa mabango kudanganya watanzania, ameweza ametimiza!
Do we really need huu uchafuzi wa mji mzima kuweka mabango kwa vitu nonsense, kama mtu anafanya kazi in a serious note, tuone output , sio kwenye mabango, hizo ni justification za kisiasa, and truly , it is not the right time to mislead watanzania na hizi cheap politics;
Tanzania is very very poor country yenye viongozi matajiri, shame .
Nafasi za UDC
Nafasi za Ukuu wa Mikoa
CEO wa mashirika ya umma
Wenyeviti wa bodi
Wekeni utumishi watanzania wenye sifa waombe; haya mambo ya ma PDF ,yamepitwa na wakati na ni ukiritimba wa Hali ya juu wenye masilahi binafisi na yameleta makarai mengi sana kwenye Ofisi za Umma.
Pia Soma
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
Na ww unatetea madanguroHivi walimuokota wapi, au alitokea uvccm?
Tanzania haina diniYaani kila kitu tu jitu linapinga ka lishetani tu😑
Zamani kwenye sheria za Dini zote waislam na wakristo
Wazinzi walikuwa wanapigwa kwa mawe mpaka kufa
Sasa ndio adhabu hii??
Bora mchawi kuliko kahaba
Kahaba ni mchawi anayetembea kwa miguu mchana kweupe
Haya ni mambo yanayopaswa kuwa mahubiri kanisani au mawaidha msikitini kwenu, sio mambo ya kushughulikiwa na mkuu wa mkoa au wilaya.Kujiuza
Kuwa mchipuko
Kuuza pombe bar
Hizi sio kazi za MTU kufanya huyo DC Approach anayotumia haifai Ila anachofanya ni sahihi
Angewakamata kimya kimya na kuwajengea bweni au hosteli nje ya mji malaya wore ili wapewe counseling na therapy ya akili
Malaya Kama hao Jela au police sio sehemu yao maana hao ni victim.
Aaa bana na ww unawateteaWamedhalilishwa walipwe fidia zao
Ni kwa sababu issue imekuwa mis-handled; kakuna jingine...!Sema hawa wadada, wamepata watetezi bana, wametetewa sana.....
Kiasi imeathiri sana wauzaji na wanunuaji au sio.....Ni kwa sababu issue imekuwa mis-handled; kakuna jingine...!
Si watejaa wao.Sema hawa wadada, wamepata watetezi bana, wametetewa sana.....
Ongezaaa sautiiiiii!!! WANAFIKI wote wasikie.Vichaa nini
Mungu awape watoto makahaba mjue uchungu wake
Hamjui kwa kufanya hivi ni ujumbe kwa kizazi chetu kijacho (watoto wetu)
Maadili yanaporomoka sana siku hizi
Tunatengeneza kizazi cha sodoma na gomora
Hata kama hatuipendi serikali ya CCM tusiwe watu wa kupinga kila kitu ni ujinga
Mimi natamani operation hii iwe nchi nzima kwa jina la Yesu [emoji113]