Rais Samia anashauriwa kutengua uteuzi wa Hassan Bomboko Haraka iwezekanavyo

Cha ajabu alivyo mkatili ni wanawake wenzake wanadhalilishwa na yeye hasemi kitu yupo tu. Arusha Makonda amemdhalilisha afisa wa serikali mwanamke Samia yeye haikumgusa yupo tu, hivi anaweza kweli kulinda mali za nchi hii na Waarabu na wezi wengine wa kimataifa?!s

Cha ajabu alivyo mkatili ni wanawake wenzake wanadhalilishwa na yeye hasemi kitu yupo tu. Arusha Makonda amemdhalilisha afisa wa serikali mwanamke Samia yeye haikumgusa yupo tu, hivi anaweza kweli kulinda mali za nchi hii na Waarabu na wezi wengine wa kimataifa?!
Huyu anaishuzi, ni janga la taifa
 
Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!

Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa?

Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kama familia ya mtu binafsi. , na hizo nafasi za DC , CCM mnazichukulia kama ni nafasi zenu na huwa mnawapa watu very low IQ ambao wengine hata form 6 hawajamaliza.

Kwanini Rais anateua nafasi za U DC? Why

Kwanini hizi nafasi zisiingizwe kwenye mchakato wa utumishi, watanzania wenye Qualification waombe na kufanyiwa interview, watanzania wenye akili na maelimu kwa sasa ni wengi mno, kwanini mnaendelea kutoa nafasi kama hizo kwa wasanii na watu wajinga , why manahodhi snaa position just kwa manufaa ya CCM ?

CCM Tupo Karne 21 to 22, msipobadlika na kuchange some of the useless regimen , na mka adopt the new code, you guys very soon mnakuwa kwenye death bed

USA, they go back and realized hatuwezi kuendelea na biashara ya utumwa, huko mbeleni hawa jamaa wataamka na kudai haki zao, lazima to abolish utumwa ili baadae mambo yasiwe mengi. They did .

A man was not born as a typical slave and you will not be able to enslave him forever, unless unahitaji bloodshed huko mbeleni.

Watu smart na wenye akili waliona hili that is why today , we have developed countries ambazo viongozi wetu ndio wanakuja kushangaa miji, akiwemo Samia.

Huko kwetu nchi nzima imejaa mabango kudanganya watanzania, ameweza ametimiza!

Do we really need huu uchafuzi wa mji mzima kuweka mabango kwa vitu nonsense, kama mtu anafanya kazi in a serious note, tuone output , sio kwenye mabango, hizo ni justification za kisiasa, and truly , it is not the right time to mislead watanzania na hizi cheap politics;

Tanzania is very very poor country yenye viongozi matajiri, shame .

Nafasi za UDC
Nafasi za Ukuu wa Mikoa
CEO wa mashirika ya umma
Wenyeviti wa bodi

Wekeni utumishi watanzania wenye sifa waombe; haya mambo ya ma PDF ,yamepitwa na wakati na ni ukiritimba wa Hali ya juu wenye masilahi binafisi na yameleta makarai mengi sana kwenye Ofisi za Umma.

Pia Soma

Well, Tufanye nn ili kuwaondosha Hawa Malaya ,mashoga, wafiraji alwaloamua kuzigeuza barabara zetu kua chimbo la ufsika wako.

Unashauri nn?.

Alisema MAKONDA " watu wavivu, wazembe, wezi ,Wala rushwa , watu walojaa uozo na mambo ya ovyo, Huwa wanakawaida ya kua na Umoja na mshikamani".

Inatuhitaji watu wachache kama aina ya Mkuu wa WILAYA , kusimama na kupambana.
 
Huna haja ya kuwaondosha, wawekewe mazingira mazuri ya kufanya hiyo kazi a na walipe kodi na hayo sio kipaumbele ya taifa

That is a business, I want service from sex workers , I pay for the service ….we exchange…… ni pure business, ww unajua ulikuzwa vipi? Just because hawakuwa kwa road , doesn’t mean hawakufanya ……
Government ni kuweka mazingira mazuri na ulinzi maeneo husika,
Mfano ukahaba wa Dodoma, do you know who are the buyers?
Badilishen mind set za kijinga
 
Well, Tufanye nn ili kuwaondosha Hawa Malaya ,mashoga, wafiraji alwaloamua kuzigeuza barabara zetu kua chimbo la ufsika wako.

Unashauri nn?.

Alisema MAKONDA " watu wavivu, wazembe, wezi ,Wala rushwa , watu walojaa uozo na mambo ya ovyo, Huwa wanakawaida ya kua na Umoja na mshikamani".

Inatuhitaji watu wachache kama aina ya Mkuu wa WILAYA , kusimama na kupambana.
Unauliza Na kujijibu
 
Huna Akili.

Hata developed countries wapo hao watu

Wekeni mazingira mazuri huwezi kupangianwatu nn cha kufanya for as long as hawafanyi offense .

Watanzania mpo kwenye kisiwa akili zenu ni ndogo sana

Narudia tena utakuwa radhi ukisikia mwanao malaya???? Au shoga
Usilete za well developed countries
 
Ukahaba ni dhambi, wewe aliyekuambia dhambi ni nani?

After all , ukahaba ni dhambi pekee hapo Tanzania;? aidha, kimsingi kama ni dhambi, ni nani mwenye jukumu la kuhukumu dhambi? Au umetumwa na Mungu wako kumsaidia kuhukumu dhambi maana yeye amechoka, stupid is as stupid does .

Among ya watu waliokamatwa, wengine walikamatwa kimakosa Na ni aibu kwa familia, hili unaliwekaji.

Ukahaba ni kazi, wasajiliwe na wawekewe mazingira mazuri si inawateja, na wateja ndio sisi ndio nyie, tujifunze perspective za maisha.

Wewe hapo ulipo, umekuwa Na watu wangapi kwenye mahusiano yako, weka idadi hapa nikuoneshe ukahaba wako

Dhambi dhambi mungu ni babako wewe au msaidizi wako , ?
😂😂😂😂
 
Hayo ndo wanayapenda ..umpe mtu mwenye akili timam uongozi hayo maagizo ya kipuuzi toka juu si ataya reason wanapenda machizi likiambiwa zuia maandamano,hamisha watu pale umpe fulan fasta tu wanafanya.Hii nchi kuna watu wamejimilikisha na sisi wananchi tunajifanya kama hatuwajui wakati wanajulikana. Shame to be tanzanian.
Inasikitisha sana
 
Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!

Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa?

Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kama familia ya mtu binafsi. , na hizo nafasi za DC , CCM mnazichukulia kama ni nafasi zenu na huwa mnawapa watu very low IQ ambao wengine hata form 6 hawajamaliza.

Kwanini Rais anateua nafasi za U DC? Why

Kwanini hizi nafasi zisiingizwe kwenye mchakato wa utumishi, watanzania wenye Qualification waombe na kufanyiwa interview, watanzania wenye akili na maelimu kwa sasa ni wengi mno, kwanini mnaendelea kutoa nafasi kama hizo kwa wasanii na watu wajinga , why manahodhi snaa position just kwa manufaa ya CCM ?

CCM Tupo Karne 21 to 22, msipobadlika na kuchange some of the useless regimen , na mka adopt the new code, you guys very soon mnakuwa kwenye death bed

USA, they go back and realized hatuwezi kuendelea na biashara ya utumwa, huko mbeleni hawa jamaa wataamka na kudai haki zao, lazima to abolish utumwa ili baadae mambo yasiwe mengi. They did .

A man was not born as a typical slave and you will not be able to enslave him forever, unless unahitaji bloodshed huko mbeleni.

Watu smart na wenye akili waliona hili that is why today , we have developed countries ambazo viongozi wetu ndio wanakuja kushangaa miji, akiwemo Samia.

Huko kwetu nchi nzima imejaa mabango kudanganya watanzania, ameweza ametimiza!

Do we really need huu uchafuzi wa mji mzima kuweka mabango kwa vitu nonsense, kama mtu anafanya kazi in a serious note, tuone output , sio kwenye mabango, hizo ni justification za kisiasa, and truly , it is not the right time to mislead watanzania na hizi cheap politics;

Tanzania is very very poor country yenye viongozi matajiri, shame .

Nafasi za UDC
Nafasi za Ukuu wa Mikoa
CEO wa mashirika ya umma
Wenyeviti wa bodi

Wekeni utumishi watanzania wenye sifa waombe; haya mambo ya ma PDF ,yamepitwa na wakati na ni ukiritimba wa Hali ya juu wenye masilahi binafisi na yameleta makarai mengi sana kwenye Ofisi za Umma.

Pia Soma
Ww ni mmiliki wa madanguro. Wamekanyaga maslahi yako
 
Yaani kila kitu tu jitu linapinga ka lishetani tu😑
Zamani kwenye sheria za Dini zote waislam na wakristo
Wazinzi walikuwa wanapigwa kwa mawe mpaka kufa
Sasa ndio adhabu hii??
Bora mchawi kuliko kahaba
Kahaba ni mchawi anayetembea kwa miguu mchana kweupe
Tanzania haina dini
 
Kujiuza
Kuwa mchipuko
Kuuza pombe bar

Hizi sio kazi za MTU kufanya huyo DC Approach anayotumia haifai Ila anachofanya ni sahihi

Angewakamata kimya kimya na kuwajengea bweni au hosteli nje ya mji malaya wore ili wapewe counseling na therapy ya akili

Malaya Kama hao Jela au police sio sehemu yao maana hao ni victim.
Haya ni mambo yanayopaswa kuwa mahubiri kanisani au mawaidha msikitini kwenu, sio mambo ya kushughulikiwa na mkuu wa mkoa au wilaya.
 
Vichaa nini
Mungu awape watoto makahaba mjue uchungu wake
Hamjui kwa kufanya hivi ni ujumbe kwa kizazi chetu kijacho (watoto wetu)
Maadili yanaporomoka sana siku hizi
Tunatengeneza kizazi cha sodoma na gomora
Hata kama hatuipendi serikali ya CCM tusiwe watu wa kupinga kila kitu ni ujinga
Mimi natamani operation hii iwe nchi nzima kwa jina la Yesu [emoji113]
Ongezaaa sautiiiiii!!! WANAFIKI wote wasikie.
 
Back
Top Bottom