Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania.
Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni kwa kumkinga.
Mama akitoka leo na kumuhakikishia usalama Lissu wapinzani wake Rais Samia watatumia ahadi hii kumuaribu Mama kisiasa.
Ina maana hawa watu ambao wengine hawampendi na bado wapo ndani ya usalama, jeshini na Polisi wanaweza kwenda kumfanyia Lissu mabaya ili Rais Samia watu wamuone hafaida kwenye kulinda watu hata pale anapotoa ahadi.
Mama ataweza kusema hadharani tu pale atakapo badilisha viongozi wote wa usalama kuanzia usalama wa taifa na wasaidizi, Polisi IGP na DCI, na vikosi vyote vya siri.
Bila kubadilisha hawa na kujiridhisha viongozi wa usalama ni chaguo lake hataweza kabisa kuahidi kwa 100% kuwa Lissu atakuwa salama. Hivyo kwa ufupi Rais Samia bado hajaweza kuwaamini usalama. Kumtoa Sirro tu bado anazunguka na tume mbali mbali .
Rais Samia bado anawasoma vizuri na kujua wazuri na wabaya kwa kusaidiwa na wakina Membe, kinana na Kikwete . Pamoja wa wastaafu kama IGP Mwema
Hivyo Lissu asubiri kwanza Rais Samia asafishe safu nzima