Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line.

Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote...

Ile Dhihaka haivumiliki hata kidogo ni dharau iliyopita kiwango kwa katiba yetu, Kama ana busara natarajia kumwona akiitolea ufafanuzi kauli yake.

Your browser is not able to display this video.
 
Kitabu chenu kitakatifu wewe na nani!
Hiyo katiba nani anaijua zaidi ya wanasiasa na wanasheria?
Dah watu kama nyie hata mzoga wa jibwa koko una nafuu. HAMJIELEWI. Haujui kuwa Katiba ndio mpango wote wa maisha yako ya hapa duniani.

Hata huyo mama mwenyewe kama si kufuatwa kwa katiba leo hii angekuwa Rais? Si watu wangepindua meza wakamuweka mtu mwingingine tu.

Lakini walijiuliza katiba inasemaje kuhusu Rais akifa, wakakuta Makamu wake ndiye anayerithi, wakafuata.
 
Nakazia✍️✍️✍️
Asiyeelewa hayo maelezo ya Baba wa Taifa kuhusu Katiba kwenye hiyo clip ni ama mnafiki au tapeli
 
Rais wa Tanzania ni mungu mtu haiyumkiniki kwake kuomba radhi. Toka lini Mungu akaomba radhi.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini hamuwezi kukosoa kwa staha bila lugha chafu na matusi imagine ndiyo mkishika Nchi itakuwaje si wahuni tuu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…